wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wako hivi?

    Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu. Why mpo hivi?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine. Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu...
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Mloganzila inatumia wanafunzi (interns) kuhudumia wagonjwa mahututi, na manesi wana huduma mbaya, mnatumaliza

    Habari, Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭. Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo. Mashine zao ni...
  7. JamiiForums Tanzania Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

    Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali). Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza kununua kiwanja chochote na mahali popote. Na Hawa siyo kina Mo na Bahresa,ni watu tu ambao wapo low...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  9. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

    Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chiza Marando, Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru na PS wako toeni barua za uhamisho za watumishi, kwanini mnazificha?

    Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini? Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako...
  11. JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu hii picha?

  12. JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

    Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi cha AI. Ila hata Biblia utaona mtu wa kwanza kuumbwa alikua mwanaume so it means alieanza kuhisi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

    Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
  14. JamiiForums Tanzania Neno gani la kwanza huwa unamwambia mwenza wako baada ya kumaliza faragha?

    Baada ya minyanduano ya hapa na pale, neno gani la shukurani huwa unamwambia mwenza wako?
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi mtongoza mwalimu wako au mwanafunzi wako

    Wakuu hii hutokea sana tena Mara nyingi huko tunapokuwa tunatafuta elimu Unaweza kuona mwalimu wa kike/kiume kampenda mwanafunzi wake au mwanafunzi wa kiume kampenda mwalimu wake wa kike/kiume Sasa hapa shida huwa ni mbinu za kuanzia kumtongoza na najua wengine wapo humu jamvini ,naomba...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Offgrid forever: Kwa Tanzania unahitaji pesa kiasi gani kuwatolea nje Tanesco ujitegemee umeme wako kwa matumizi ya nyumbani?

    Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea. Ni nyumba yenye watu 7 TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku, Fridge haizimwi, Pasi asubuhi na usiku Kucharge simu kwa sana kwa siku ni kama unit 4
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

    Guys mambo vipi. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina swali dogo tu. Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap (HipHop kwa ujumla)?
  18. JamiiForums Tanzania Kurudisha uwezo wako wa tendo la ndoa

    Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Utatendewa namna ambavyo na wewe unamtendea mwenzi wako

    Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member. Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya nje huko. Sasa wewe huonyeshi mahaba kwa mkeo michepuko imekuzidiaa tendo la ndoa ni lakutafuta...
  20. JamiiForums Tanzania M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…