wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama wa madege-vita yote b-2 kwa sasa wako diego-garcia tayari kwa kazi maalum huko mashariki ya kati

    Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
  4. JamiiForums Tanzania nifundishe kazi yako au ujuzi wako nipo tayari kujifunza na kufundishika.

    poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema. Nifundishe ndugu nipo tayari...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  6. I

    JamiiForums Tanzania njoo na ubashiri wako kwa hizi mechi za leo..

    Kamata Ratiba Ya Kandanda Leo FRANCE: Ligue 1 19:00Reims - Marseille 21:00St Etienne - PSG 23:05Monaco - Nice GERMANY: Bundesliga 17:30Bayern Munich - St. Pauli 17:30B. Monchengladbach - RB Leipzig 17:30Hoffenheim - Augsburg 17:30Holstein Kiel - Werder Bremen 17:30Wolfsburg - Heidenheim...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka "territory" kwenye mahusiano yako huwa unaacha vitu gani kwani mpenzi wako?

    Mimi kwanza sio mtu hata wa hayo mambo. Ila mara ya mwisho nilisahau mkufu wangu kwake na nikamwambia akaniambia ameuhifadhi. Nimerudi nikamuuliza kaniambia hauonekani itakuwa dada wa usafi kautupa. Sasa najiuliza huyo dada wa usafi kwanini anatupa vitu vya watu bila kuuliza jamani.
  8. JamiiForums Tanzania Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
  9. JamiiForums Tanzania Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

  10. JamiiForums Tanzania Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

    Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
  11. JamiiForums Tanzania ULIYEMFICHIA MAJIBU NECTA NDIE MWAL WAKO VETA UTAIPENDA

    Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  13. JamiiForums Tanzania Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

    Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae Money penny: upimaji huo ndio ukoje Binaadam: wanawake wote...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon na Hizbullah wako pamoja kupinga vita vinavyoshinikizwa kwao na Israel

    Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7. Katika tamko jengine tofauti na la waziri mkuu,raisi wa nchi hiyo Joseph Aoun ammbaye ni mkristo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Swali kwa watu ambao wako selfaware only (watu WASIO kwenye matrix)

    My apologies kwa matrix people hili sio swali lenu, hili ni swali kwa watu walio self-aware,self-conscious,awake. ( kama wewe hujui tofauti yake nini wala usihofu hiyo ni indication kuwa swali sio lako vinginevyo ungejua). Twende kwenye swali, wakuu naomba kujua ni vitabu gani ambavyo ni your...
  16. JamiiForums Tanzania HATUCHEZI HATUCHEZI HATUCHEZI OLE WAKO ENG. HERSI ALLY SAID NA WENZAKO

    USHAURI WA BURE KWA RAIS NA MAKAMU WA RAIS WA YANGA NA KAMATI YAO YA UTENDAJI NA MSIMAMO WA WAPENZI NA WANACHAMA WA YANGA Kutokana na ukubwa wa Timu yetu na mtandao mkubwa uliopo miongoni mwa wapenzi na wanachama wa YANGA kuna taarifa zisizo na mashaka ndani yake ya kwamba viongozi wa Yanga...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??

    Kumrudia EX wako wa tukupeleke VETA. Utachagua nini??
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Pangawe Wananchi wako wanadai umewatupa

    Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua. Nina mzee wangu ambaye yupo hapo analalamika kuwa jengo ambalo wamepanga kodi iliisha tangu Desemba 2024, lakini kinachowasikitisha...
  19. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Bembea na mabenchi kwenye mti wako mkubwa

    Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli. Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama alivyotushauri mwalimu katika kitabu cha muhubiri japokuwa nayo yote ni bado kujilisha upepo ila ni...
  20. JamiiForums Tanzania Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…