wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunza wazazi wako

    Saidia wazazi wako hata kama hawajakuomba Walale pazuri Wavae vizuri Wale vizuri Ukiona usumbufu na huna muda wajengee chanzo Cha maokoto pesa
  2. JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  3. JamiiForums Tanzania Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku

    Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi Sijui wewe
  4. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wowote wakujua body count ya mpenzi wako?

    Kwenye mahusiano mengi wapenzi hua wanatamani kujua body count zao, sasa nilikua naulza je ni sawa ?? Kwa sababu mimi sioni umuhimu wa mpenzi wangu kujua body count yangu kwasababu haina msaada kwake na spendelei kabsa maswali ya mtindo huu
  5. JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii????? Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022 (Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-...
  7. JamiiForums Tanzania Katika utendaji wako wa kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?

    Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo. Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
  8. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  9. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  10. JamiiForums Tanzania Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

    Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumutafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni?

    Ni sahihi kabisa kumtafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni, ingawa uamuzi huu ni unaweza kuchukuliwa kama ubnafsi na unategemea mambo mengi. Watu wengi huchagua kuwatafuta wazazi walio watelekeza kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutaka kufaham historia yao ya kifamilia, kupata majibu kuhusu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  14. JamiiForums Tanzania Toka ujiunge JF ni upi uzi wako bora?

    Wakuu habari zenu? Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza. Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja. Hizi nyuzi za hawa memba wenzetu waliotangulia mbele za haki, folk, Mpauko, zimeelezea hali halisi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

    Hellow Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini? Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af yule binti alikuwa ana nisusia so najipimia mpaka nikinai na siku nime mtafuta haku pindua alikuja...
  16. JamiiForums Tanzania Kumsifia mwenza wako mambo ya falagha kwa mashoga zako sio kweli

    Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama. Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia...
  17. JamiiForums Tanzania Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

    Ndugu Wana ukumbi, Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi? Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
  18. JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kujali usalama wa mtoto wako

    Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule. Right Marker Dar es salaam
  19. JamiiForums Tanzania Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote

    Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako. Mdharau asili hufa kikatili
  20. JamiiForums Tanzania Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?

    Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?? :Mimi namwambia aendelee kumpenda tu asikate tamaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…