wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe. Asili ni nguvu💪
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  3. JamiiForums Tanzania Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

    Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya

    Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

    Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu? Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au...
  6. JamiiForums Tanzania KAMA UNAAMINI MPENZI WAKO AKUCHEAT NYOOSHA KIDOLEE...

    NA KAMA UNAMCHEAT NA UNATUMIA CDM NYOOSHA MKONO PIA
  7. JamiiForums Tanzania KAMA UNAAMINI MPENZI WAKO AKUCHEAT NYOOSHA KIDOLEE...

    NA KAMA UNAMCHEAT NA UNATUMIA CDM NYIOSHA MKONO PIA
  8. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

    Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi! Hali iko hivyo hapa kwetu. Mtawala wetu sidhani...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unalenga nini katika uwekezaji wako kwenye soko la hisa: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)? Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  11. JamiiForums Tanzania Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

    Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake? Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo
  12. JamiiForums Tanzania Gen z wako tayari kufanya chochote ili tu wapate Cha kupost

  13. JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    1: Mavazi. Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha. 2: Chakula. Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA kuzidi. 3: Ngono au Tendo la ndoa. Huyo sio dada yako, hakikisha anapata ngono ya kumtosha...
  14. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Polepole umetimiza wajibu wako

    Yaliyopita yamepita, umeomba msamaha. Tuangalie uliloliangazia macho na roho jana
  16. JamiiForums Tanzania Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

    Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men...
  17. JamiiForums Tanzania Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Unajua waliopanga na waliompiga risasi Tundu Lissu wako wapi?Hata hawa wanaotaka anywongwe yatawakuta tu

    Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…