wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sema watoto wa sikuizi

    Hello Jf members👋 Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
  2. X

    JamiiForums Tanzania TAFADHALI piga picha na wazazi wako

    Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo. Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele. Picha ya leo ni kumbukumbu utakayobaki nayo kesho. Na usiishie kwa wazazi fanya hivyo kwa ndugu zako...
  3. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wako wewe Mtanzania

    Watanzania wenzangu, Tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu ya maandamano ambayo tunatakiwa kuungana kwa pamoja kuonyesha sauti yetu kwa watawala na mshikamano mkubwa. Maandamano haya ni jibu la mshikamano wetu wa kumwambia aliye madarakani, dunia, na viongozi wetu kuwa hatutakubali tena...
  4. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua Rais anatembea na mke au mume wako?

  5. JamiiForums Tanzania Wanaume, Msijimalize kwa Madada Poa walioko Dodoma, wengi wako 'Kazini'.

    Msiseme Sijawaambia! Fanya ulichokifuata kwake. Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana. Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako. Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake. Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu'...
  6. JamiiForums Tanzania "Njia Bora ya kushinda ni kumdhoofisha mpinzani wako"

    "The best way to win is to weaken your opponent(s)". Hii ndio mbinu wanayotumia mataifa makubwa kama Urusi kupambana na maadui zao wakubwa kama Marekani kwa kuwapora majajusi wao Bora. Mbinu hii pia ilikua inatumiwa na viongozi wa Simba SC kipindi kile Cha Hans Pope na Manara kwa kupora...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  8. JamiiForums Tanzania Vp mwana Man Utd, msimamo wako juu ya Amorim upoje sasa hivi? abaki au asepe?

  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kumtukana mkubwa wako kimoyomoyo? Je, alikuwa nani na alisema au alifanya kitu gani?

    Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
  11. JamiiForums Tanzania Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  12. P

    JamiiForums Tanzania MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano. #Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

    Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya cryptocurrency..basi huenda taarifa hii usiielewe au kuona ni utapeli..niko tayar kukupa elimu kwa kina...
  14. JamiiForums Tanzania Tambiko rahisi la kujizindika mwili wako unaloweza kuzindika wewe mwenyewe ukiwa nyumbani

    Hii hapa ritual rahisi ya kujisafisha kiroho nyumbani – salama, ya asili, na yenye nguvu ya kiroho: --- VITU UNAVYOHITAJI: 1. Chumvi ya kawaida au ya baharini (chumvi huchukua nishati hasi) 2. Maji safi 3. Mafuta ya mkarafuu, mizeituni, au lavender (kama unayo) 4. Mshumaa mweupe (ishara ya...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ukiona namna mwanamke anavyokua na anavyobehave akiwa na mwanaume aliempenda kwa dhati basi utaacha kuwafukuzia wanawake ili ukae kusubiri wako

    Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye upungufu wa nguvu za kike. Siku ukiona mahaba tunayopewa sisi ambao hatukutumia minguvu kuwapata basi...
  16. JamiiForums Tanzania Wako wapi washitaki wako?

    [Yoh8:2]Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha. [Yoh8:3]Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. [Yoh8:4]Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Usitumie muda wako sana kwenye mapenzi, watu wana watu wao

    Tumia muda wako kufanya kazi na siyo kuhangaika na mapenzi. Unakutana na pisi kali unaomba namba unaanza kuwa busy nae we unadhani ameonekana na wangapi kabla yako na ni wangapi wanaomtaka . Punguza kupenda sana watu wana watu wao, unayempenda sana naye ana mtu wake anayempenda sana. Cheza...
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ni ya Betty Kaunda, mke wa Rais wa kwanza wa Zambia

    Wakuu ==== 'Picha imepigwa 1995 pale Zambia Mama Betty Kaunda alijua kupendeza kuliko uyo kibungo Wako' mwenye ukweli wa hizi taarifa naomba msaada.
  19. JamiiForums Tanzania Yaani Aboubakar Sadick pamoja na Ujanja wako wote na Tambo zako zote kumbe Gari yako iliyoungua ilikuwa haina hata Fire Extinguisher ili Uiokoe?

    Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea usiku huu wa majira ya saa sita Septemba 2, 2025 ambapo katika...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia

    Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe. Asili ni nguvu💪
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…