wakili

Malam Wakili (born 1958) is a senator of the Federal Republic of Nigeria from Bauchi State and retired controller of customs. He represented south Bauchi in the current 8th National Assembly before his death on March 17, 2018. Senator Wakali was the Chairman, Poverty Alleviation & Social Welfare Committee and Vice Chairman of the Air Force Committee of the 8th National Assembly.A bye election was conducted after his death and Lawal Yahaya Gumau of the All Progressive Congress won.The south Bauchi Senatorial District covers seven local government areas.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    Wakili Maduhu: Ukimrekodi mtu bila ridhaa yake utapewa kifungo kisichopungua miaka 5 au Faini isiyopungua Milioni 5

    Wakili Kulwa William Maduhu anaeleza kuwa ni makosa kisheria kurekodi mazungumzo yako na mtu mwingine bila ridhaa yake na kufanya hivyo kunaweza kupelekea ukafungwa miaka mitano. Wakili Maduhu amesema hayo leo Novemba 16, 2026 kwenye mahojiano na kipindi cha Jambo Asubuhi na kueleza kuwa pia...
  2. McLaren

    Wakili Maduhu: Ushahidi unaopatikana kwa ukamataji usiofuata sheria ni batili mahakamani

    Mwanasheria William Maduhu amebainisha kuwa ushahidi wowote unaopatikana kupitia ukamataji au upekuzi unaokiuka taratibu za kisheria ni batili na haupaswi kupokelewa mahakamani. Akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi kinachorushwa na Jambo TV, Maduhu ameeleza kuwa...
  3. Mhaya

    Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  4. O

    Wakili Abshir Abdi Afika Mahakamani Milimani Baada ya Kupatikana Hai Siku 11 Tangu Kutoweka

    Wakili wa Nairobi, Ahmedsadak Abshir Abdi, amefika katika Mahakama Kuu ya Milimani Ijumaa, Novemba 13, 2026, siku moja baada ya kupatikana akiwa hai katika eneo la Sololo, Kaunti ya Marsabit. Abdi alikuwa ametoweka kwa siku 11 tangu Novemba 1, 2026, baada ya kuripotiwa kutekwa na watu waliokuwa...
  5. Elvis Legacy

    Wale tuliokuwa na ndoto kubwa kubwa kama kuwa marubani tukutane hapa tujadili.

    Salaam wakuu, Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuwa rubani. Ila kwenye harakati za maisha nimepitia kazi nyingi pamoja na kuwa mgambo wa jiji, nimekimbizana sana na machinga. Hakuna kozi ya ndege nimewahi soma wala kushika engine ya ndege zaidi ya kurusha hizi aviator za online na kupoteza pesa...
  6. O

    Wakili Abshir aliyetoweka Nairobi aripotiwa kupatikana akiwa hai Isiolo baada ya Siku 11

    Taarifa mpya zimeibuka kuwa wakili wa Nairobi, Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyekuwa ametoweka kwa siku 11 baada ya kudaiwa kutekwa nyara na watu wenye silaha, amepatikana akiwa hai katika Kaunti ya Isiolo. Kwa mujibu wa taarifa ya Kenyans.co.ke ya Alhamisi, Novemba 12, 2026, wakili huyo...
  7. Hussein J Mahenga

    Wakili Kizimbani: Tundu Lissu na Utetezi Wake Katika Kesi ya Uhaini

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ni mmoja wa wanasiasa wa upinzani wanaofahamika zaidi Tanzania, na pia ni wakili mzoefu. Kesi ya uhaini iliyofunguliwa dhidi yake Aprili 2025 ilimpa nafasi isiyo ya kawaida: kusimama kizimbani kama mshtakiwa na wakati huohuo...
  8. Carlos The Jackal

    Wakili Frank Lubasha: Serikali inayojitambua ni lazima Itumie Brain ya Lissu kwa Manufaa ya NCHI. Lissu sio wa kutukanwa, sio wa kufungwa!

    Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU. Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
  9. M

    Michael Sanft, wakili aliyemtetea aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya Tupac 'Keffe D', amekutwa amefariki

    Michael Sanft, wakili wa utetezi wa Marekani aliyemwakilisha Duane "Keffe D" Davis aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya Tupac Shakur, amekutwa amekufa nyumbani kwake huko Las Vegas, Nevada, akiwa na umri wa miaka 55. Chanzo cha kifo chake hakijabainishwa, ingawa ripoti za awali zinaonyesha kuwa...
  10. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  11. J

    Tundu Lissu angekuwa kweli ni Mhaini, Wakili wa Serikali Katuga asingekuwa anamuita "mwenzetu”, tena akirudia rudia

    Ndio. Kichwa cha habari kinahusika. Kama Tundu Lissu angekuwa mhaini Muendesha Mashtaka asingetamka hata siku moja kuwa ni mwenzake. Wengine tuna uzoefu na kesi ya Uhaini ya mwaka 1983. Ushahidi uliokuwa ukitolewa ulikuwa mzito kweli kweli. Wahusika walikuwa wamedhamiria kwa maneno...
  12. Jaji Mfawidhi

    Beno Malisa (Mkuu wa Mkoa aliyetumbuliwa Tabora) ni Wakili, amefanya kosa gani?

    Beno Malisa ni Wakili, amekaa kwenye "ulaji" wa Siasa toka 2007 , amekuwa UVCCCM, Mjumbe NEC, Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa , bado tu, je watoto wetu wanao hitimu Open University wafanyeje?
  13. Zack Abdul

    TUNDU LISSU HAJAGOMA KULA NA HAKUNA WAKILI WAKE ALIYEZUIWA KUINGIA GEREZANI

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  14. Pascal Mayalla

    Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  15. Manyanza

    Tamko la Baraza la Uongozi la TLS dhidi ya dhukuma inayoendezwa dhidi ya Rais wa TLS na kutendewa visivyo kwa Wakili Tundu Lissu

    Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
  16. M

    Sijamuelewa huyu wakili juu ya chumo la pamoja. Mwanamke akukute umeshajenga ukiishi nae tu kwenye hiyo nyumba ni mali yenu wote!

    Huyu wakili anachochea mauaji ya wanandoa👇
  17. O

    FALSE I have decided to leave ODM and Join UDA says Mathare member of parliament Antony Oluoch (Wakili)

    The content in this flyer are false and fabricated
  18. S

    Wakili wa serikali Katuga hajasema kweli; kisheria maneno "shall be liable" maana yake ni lazima, kama sio lazima lugha sahihi ni "will" au "should"

    Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe. Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
  19. Parabolic

    Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  20. Waufukweni

    Wakili Madeleka: Paul Chacha anatakiwa kukamatwa kwa Uhaini, kwa Kauli kuhusu Vyombo vya Ulinzi

    Wakili Peter Madeleka ameitaka mamlaka za ulinzi na usalama kumchukulia hatua Chacha kufuatia kauli anazodaiwa kutoa kuhusu umiliki wa vyombo vya ulinzi na usalama. Madeleka amedai kuwa kauli hiyo inaweza kuhusishwa na uhaini, akirejea Ibara ya 147(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom