wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  2. JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  3. JamiiForums Tanzania Ajiua na kumtaka bosi wake akamzike Musoma badala ya Moshi

    Kijana Kepteni Warioba (23) amejiua kwa kujikata na mashine ya kupasua mbao leo Juni 16, 2023, Moshi mkoani Kilimanjaro, huku akiacha ujumbe wa kumtaka bosi wake aende kumzika mkoani Mara na asipofanya hivyo atakuwa anamuona na kumsumbua mara kwa mara. Tukio hilo limetokea leo Juni 16, 2023...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

    Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar. Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki. Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

    Naomba kuuliza kwa wakristo, Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachotokea kwa viongozi wakuu wa CWT (M/Kiti na Katibu wake) ni UONEVU wa waziwazi

    Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya. Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais! Kama kweli...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

    Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua. Uzuri wife akawa amefaulu...
  9. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake kweli wanahuruma, Grand P arudiana na mpenzi wake

    GRAND P ARUDIANA NA MPENZI WAKE Mwimbaji tajiri wa Guinea, Grand P amedokeza kurudiana na mpenzi wake Mwanamitindo kutoka Ivory Coast, Eudoxie Yao. Staa huyo amechapisha picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na Eudoxie Yao na kuandika upendo wa kweli hauna kikomo!. FOLLOW Aston John...
  13. JamiiForums Tanzania Alinifata Akiwa Anahisi Mke Wake Anachepuka.

    Au pengine hamtaki tena. Kwa kuwa alikua hapati penzi tangu mwaka jana, akipata mpaka aombe sana… Mke wake alikua anamkoromea sana, alikua anakuja juu mno… Alikua anagombana na mke wake kwa vitu vidogo na vya kawaida. Ambavyo vilikua haviwagombanishi au kuleta shida… Na kukazia hilo kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Lowasa, huu ndiyo ungekuwa Uraisi wake, hii ni version yake!

    Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo ingawaje hamuwaoni pichani lkn ndio wanao pull strings, hao mnaowaona wanabwabwaja ni watumwa tu na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  16. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada wa Tume ya Mipango, sasa kuwa na Waziri wake

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa mwaka 2023 huku ikiondolewa Wizara ya Fedha na Mipango na kupelekwa kwa Ofisi ya Rais. Muswada huo umewasilishwa na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene bungeni leo...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda Wananchi wengi wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake

    Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

    Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aibuka. Aililia tembo kuvamia Mashamba ya Wananchi wa Kilosa

    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu wananchi hao hawajalipwa kifuta machozi kutokana na uharibifu huo. Pia, ameomba Wizara ya Maliasili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…