Mimi kama Mimi yaani kuna wakati nafanya maamuzi ya kumchapa mtoto wangu wa mwaka na nusu lakini ni lazima nigombane na mama yake,
lakini ninacho jivunia kwa mwanangu ananipenda na ana nitii vizuri tu nikimwambia kitu anatekeleza, mfano lala, kaa , nisubirie hapo hapo,usichukue, acha...