wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Beki wa Man City ajutia usaliti kwa Mke wake

    Beki wa Manchester City, Kyle Walker, ameiomba radhi familia yake kwa kufanya uamuzi wa ovyo kufuatia wiki kadhaa za tetesi kuhusu usaliti kwenye ndoa yake. Mchezaji huyo ameliambia gazeti la the Sun, kuhusu uhusiano wa kimapenzi [mchepuko] na Lauryn Goodman, mtangazaji wa TV. “Nilichokifanya...
  2. JamiiForums Tanzania Akajibu "Baba hatumpi kura kiongozi kwa kumlipa fadhila, tutaangalia sera na Uwezo wake kutekeleza"

    Salaam ndugu yangu, Ilikuwa mwaka 2019 siku chache kabla ya Uchaguzi, Mzee mmoja aliyekuwa akigombea nafasi ya Uenyekiti alikuwa na ukaribu Mkubwa na mjomba wangu. Mgombea huyo ilikuwa hakosi kuwaita Jamaa na marafiki (akiwemo Mjomba kwenye vikao vya pombe na bata nyinginezo). Ghafla Mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Harmonize ahofia kurogwa wimbo wake usifanye vizuri

    Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani. Hii ndio post Harmonize...
  4. JamiiForums Tanzania Aua Mke na Mkwe wake

    FESTO Maganga Mkazi wa Seguchini, Kata ya Nala, Wilaya ya Dodoma Mjini, anadaiwa kumuua mkewe na mama mkwe wake, kisha na yeye kuuawa na wananchi. Tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 28, 2024 majira ya saa 10 :30 jioni katika Mtaa wa Seguchini. Akizungumza na chombo kimoja cha habari...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

    Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya. Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm. Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
  6. JamiiForums Tanzania Video: Huyu ndio Mwanamke asietaka kumpikia Mume wake

    Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce. Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video. ANGALIA VIDEO HAPA 📹 ZamaradiTv
  7. JamiiForums Tanzania Mwakinyo athibitisha ubora wake. Amchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba

    Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania athibitisha ubora wake baada ya kumchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba katika pambano la ubingwa wa WBO. --- Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano usiku huu kwa kumpiga Bondia wa Ghana Elvis kwa KO katika round ya 7 ya pambano hilo la kuwania ubingwa wa WBO...
  8. JamiiForums Tanzania Bodaboda amuua mtoto wake kwa kumkata shingo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  9. JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM akamatwa kwa kumpiga makofi Mwenyekiti wake

    Diwani wa Kata ya Ilenda, Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mneke Mauna anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, akituhumiwa kumshambulia na kumpiga makofi Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Lazaro Lubalika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Zima Moto Katika Ubora Wake

    https://youtu.be/FxUtFHgXxDw ZIMA MOTO KATIKA UBORA WAKE Nimeikuta hii video mtandaoni na nikaiangalia kuanzia mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine nilikuwa nacheka peke yangu. Kwa nini nacheka? Kwani hili jambo la kuchekesha? Hili ni jambo la kusikitisha na hakuna shaka katika hilo. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!

    Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu. Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aridhia ombi la Waziri wa Utalii kujiuzulu Wadhifa wake

    ZANZIBAR: Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali ombi la kujiuzulu kwa Simai Mohamed Said, aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale. Taarifa ya Serikali imesema Rais Mwinyi ameridhia ombi hilo kuanzia leo Januari 26, 2024 ikiwa ni muda mfupi tangu Simai...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne leo wilaya ya Kaliua hatuna umeme

    Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani. Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika. Nguzo kumi...
  14. JamiiForums Tanzania Historia na miaka ya hizi dini na waasisi wake

    Kwa mnaopenda kulipuka mabomu kisa dini, hebu jitafuteni humu, wapi mlikoanzia na mliowakuta....
  15. JamiiForums Tanzania Kauli ya Makonda imerejea kauli ya "Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"

    Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake. Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mume mmoja, wake Saba, umejiandaaje na ujio wa SHERIA hiyo ijayo duniani?

    Salaam, Shalom!!! (Isaya 4:1) NA SIKU HIYO, WANAWAKE SABA WATAMSHIKA MTU MUME MMOJA WAKISEMA, TUTAKULA CHAKULA CHETU, NA KUVAA NGUO ZETU WENYEWE, LAKINI TUITWE TU KWA JINA LAKO, UTUONDOLEE AIBU YETU. Maneno ya unabii huo yanakwenda kutimia, inakwenda kutungwa SHERIA kabisa kuruhusu wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

    China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua. Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
  19. JamiiForums Tanzania Kundi la M23 latangaza uongozi wake katika eneo la Kivu, hofu ya kuundwa taifa huru yaibuka

    DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo. Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

    Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…