Ooh!
Sawa kabisa.
Usipoelewa sasa, utaelewa baadaye.
Basi bhana, Mfalme Nebukadneza katika fahari yake, akawa anatembea kwenye kuta za mji wa Babeli huku akijisifu namna alivyoiboresha Babeli ndani ya kipindi chake cha uongozi.
Ni kweli hadi kufikia muda huo, Babeli ilikuwepo muda mrefu wa...