wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nape hajawahi kuteuliwa kwa ajili ya uwezo wake, bali kwa heshima ya baba yake Moses Nnauye; hivyo asijisahau!

    Huu ni ukweli ambao kama Nape angeutafakari basi angekuwa ana heshima kubwa sana kwa Watanzania na kuepuka kutenda au kuongea mambo yenye kuleta karaha kwa wananchi. Nape katika maisha yake yote ya nafasi za uongozi hajawahi kuteuliwa kwa sababu ana uwezo wa kuwa kiongozi, bali ni kwa sababu ya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Utegemezi wa Russia kwa sarafu ya Yuan kuokoa uchumi wake waanza kutokomea

    Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni. Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa kifedha wa kimataifa unaotawala dola maarufu kama (SWIFT) lakini nchi hiyo imeweza kustahimili...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye huyu mtoto mwambieni wazungu wanamshangaa na anaweza kujifungia kwenye fursa nyingi hakaishia na ujinga wake

    Hawa UVCCM huyu kijana sijui Abdul ni sample ya takataka tokea kuumbwa vyoo vya kuflash. kuna kitu kimoja anashindwa kujua siasa anayotumia ili mtandao wa twitter ufunge sababu kuminya demokrasia unaweza kumtokea puani kama kila mtumiaji wa X anaweza kuandika malalamiko anavotumika na jina lake...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  6. JamiiForums Tanzania Babalevo: Diamond akifa nitalia kuliko hata Mpenzi wake Zuchu

    Mwenyezi Mungu anatufundisha kila Siku tu kuwa tusitegemee Wanadamu bali tumtegemee zaidi Yeye mtoa Ridhiki.
  7. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

    Karibu wakuu, both ME na KE.
  8. JamiiForums Tanzania Kungunduliwa sehemu zilizowekwa maiti nyingi huko kenya mukuru ni baada ndoto kumtokea dada yake aliyepoletewa na mdogo wake.

    kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka. Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

    Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS. Huyu nabii anaelezwa kwamba alikuwa na utajiri mkubwa usiyo kifani, lakini pia alikuwa na busara na hekima...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kupitia Balozi wake USA watoe tamko la kulaani jaribio la kutaka kumuua Trump

    Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia. Ni kwa bahati mbaya hawa...
  11. X

    JamiiForums Tanzania China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  12. JamiiForums Tanzania Nikigundua anafungua milango yote ya utumishi wa mwili wake naachana naye

    Shalom, Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo. Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya...
  13. JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kurithi ugonjwa wa Hydrocephalus kupitia wazazi wake?

    Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kobe Motor yatoa zawadi kwa wateja wake

    Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kuuza magari yaliyotumika kutoka Japan ya Kobe Motor,imetoa zawadi mbali mbali kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wateja pamoja na kusherehekea mafanikio yake. Ikiwa ni moja kati ya makampuni makubwa ya Kijapan yanayoongoza kwa kuuza magari...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

    Sijui kwa wengine ila kwa kweli mwanaume yoyote awe ndugu yangu au rafiki WA kiume ambae Hana maamuzi yoyote Hadi kitu kifike kwa mkewe ndo akaamue yaani huwa wananikera.sisemi ni vibaya kushirikishana mke na mume hapana .Ila bakisheni chenji kama wanaume mtanishukuru baadae. Kuna utopolo...
  16. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Manyanyaso Ya Bi.Mwajuma Dhidi Ya Mpangaji Wake Bwana Hassan

    Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo: Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  18. JamiiForums Tanzania BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Aweso kutumbua watendaji kwa madudu ya maji Dar, CCM itumbue pia watendaji wake kwa kushindwa kuisimamia Serikali maeneo husika

    Kwa uelewa wangu ni kwamba chama kinachotawala kimeomba na kupewa ridhaa ya kuisimamia Serikali ili itoe huduma stahiki kwa niaba ya wananchi walioichagua. Kwa maelezo ya waziri inaonekana matenki yapo na maji yapo ila watendaji wa serikali kwa makusudi hawakupeleka maji kwenye hayo matenki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…