wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
  3. JamiiForums Tanzania Ujue Mkoa ambao Wanaume wake wanaongozwa kutuma Nauli kwa Wanawake na hawaendi na Mkoa unaongoza kwa Wanawake kula Nauli walizotumiwa na Wanaume

    Wanaume wa Mkoa wa Mwanza wanaongoza kwa kuliwa Pesa za Nauli wanazowatumia Wanawake pale wanapowatongoza au kuwahitaji Kimapenzi na Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ndoyo Wanaongoza kwa kula Nauli wanazotumiwa na Wanaume ambao Wamewatongoza au wanawahiotajio Kimapenzi. Hii ni kwa mujibu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ccm mmeamua kumsaliti mdau wa maendeleo Justin kimodoi na kushindwa kuuleta Mwili wake Tanzania ili uzikwe!

    Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa ni pesa. Hii ndo Ccm
  5. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

    Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 linamaliza muda wake miezi 3 ijayo watanzania tutalikumbuka kwa lipi?

    BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  8. JamiiForums Tanzania Kissa Sins anazeeka na utamu wake

    Wazoefu mtwambie, Huyu mwanamama KISSA SINS atakua anakula lishe ya namna gani, Maana ni amegoma kabisa kuzeeka. Miaka inaenda bado namuona yuko vile vile tu๐Ÿ˜Š
  9. JamiiForums Tanzania Rafah huko Gaza sasa hivi iko mikononi mwa majeshi ya Israel baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka huko na majeshi ya Israel

    Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel. Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi walitarajia wale askari wa Hamas waliokuwa wanavaa Combat wakati wa mabadirishano ya mateka wangejitokeza ili...
  10. JamiiForums Tanzania Amuua mzazi wake baada ya kufumaniwa

    Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya Ontario, Canada โ€“ Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa kwamba binti yake, aliyekuwa tayari kuchumbiwa rasmi, amefumaniwa akiwa na mpenzi wake wa zamani...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

    Wanaume wengi wanapokuwa na โ€œside chickโ€ huvaa full romantic mode โ€” kumuwekea mto, kwenda โ€œdownโ€, kuhakikisha yupo comfortableโ€ฆ na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo! Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious. Swali ni moja: Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu? Au...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

    Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa. Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote. Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda. Sihitaji kutaja list ya...
  13. JamiiForums Tanzania Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  14. JamiiForums Tanzania Ana miaka 47 anaishi kwa Wazazi wake, kazi hana na anataka kuja kwetu kujitambulisha

    Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaelezea. Huyu BABA ana miaka 47, amenipita 12 years, niliwahi kutoka naye kimapenzi nikiwa chuo, Ila nikampiga chini baada ya kuona hana vision na hajui kusudi la yeye kuwepo duniani. Baada ya miaka mingi ya kuto onana, kwa kuwa Mimi niko Dodoma ninakoishi na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani

    Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani? https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
  16. JamiiForums Tanzania Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

    Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya. Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya...
  17. JamiiForums Tanzania Unamjua mama mkwe wa kisasa Kajala?? Huu ndio mtoko wake wa Eid

    Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi. Dear Kajala, There's a very very bright future "behind your back"
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? ุฑู‘ูŽุณููˆู„ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ูˆูŽุฎูŽุงุชูŽู…ูŽ ุงู„ู†ู‘ูŽุจููŠูู‘ูŠู†ูŽ ูˆูŽูƒูŽุงู†ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุจููƒูู„ูโ€ู‘ ุดูŽู‰ู’โ€ุกู ุนูŽู„ููŠู…ุงู‹ โ€œMuhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.โ€ (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  19. JamiiForums Tanzania Wape ushauri dereva na utingo wake!

    Hawa jamaa derva na utingo wake, wamechoka kufa mtu. Hebu wape ushauri wa bure!
  20. JamiiForums Tanzania Wale za watu mjiheshimu jamani

    Kwanza awali ya yote kwa heshima na taadhima huku nikizingatia itifaki nawasalimu sana vijana wenzangu Niruke kwenye mada moja kwa moja mimi ni kijana wa makamo nipo kwenye Mid ya 3rd floor (30+) years. Me nimepata bahat na kibali cha kufanikiwa kwa kiasi flani kwenye maisha japo sio Tajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ