wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

    Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

    Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000). Hapo hapo kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  4. JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  5. JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  6. JamiiForums Tanzania pamoja na yote ya Pole Pole lakini huu wimbo wake ni mzuri sana aisee

    sikiliza hii ngoma aisee.. ni bonge la pini aisee
  7. JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume ishini na wake zenu kwa akili hawajawahi kuishi kirohoo. Jipe moyo

    1petr 2.3 Wanaume muishi na wake zenu kwa akili na muwapeeee heshima Ukisoma utaonaa kinachowapa heshima wanawake n akiliiii kama utapata mwanamke asie na akili ndugu umeumiaaa jamboo muhimu unapoelekea kwenye ndoawambiee MUNGU AKUPE Mwsnamke MWENYE AKILI WANAUME MWANAMKE AJAWAHI KUISHI...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  10. JamiiForums Tanzania Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

    Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala). Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja. Kwahiyo kushangilia...
  11. JamiiForums Tanzania Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

    Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
  12. JamiiForums Tanzania Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

    Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Yesu haku kataza kuoa wake wengi?

    Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo; vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote. Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  15. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke ni Uwembamba wake

    Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake. Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri. Ki Korean figure fulani hivi
  16. JamiiForums Tanzania Msanii Zimwi adai mke wake alimkimbia baada ya kuugua

    Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

    Ehh dada wewe!!!! Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana. Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend... Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ... Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua...
  18. JamiiForums Tanzania Ina maana huyu jamaa muuza karanga usmart wake unamponza

    Anakuja mara kwa mara bar ila hata za kuonja tumezikataa kwa sasa mwaka wa tatu tumezikataa.Anapita kavaa miwani watu hatumuamini
  19. JamiiForums Tanzania Bi. Mtumwa Kitete Muuza Uji na Vitumbua Mchango Wake Ndiyo Ulihitimisha Safari ya Nyerere UNO 1955

    BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955 Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy. Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road. Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi. Bi Mwamvua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…