wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  2. JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

    Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote. Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto. Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi. Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni. Lakini ile...
  6. JamiiForums Tanzania Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

    Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui. Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kibao kitapogeuka, Lissu atakuwa uraiani, huku mtesi wake akiwa The Hague Court

    Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia. Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi wake ameshahukumiwa kifungo cha maisha jela. Muda utasema.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  9. JamiiForums Tanzania Nimetoka mo29 na nimetoka D9, nitapinga maovu ya Samia na washirika wake hata nikiwa peke yangu

    Najitahidi nisiandike chochote ila naona nakua na fundo moyoni. Nilidhamiria kutoka Oct 29 hata nikiwa pekeyangu, bahati nzuri nilikutana na wengine. Jana nilitoka na bahati mbaya hakukua na wengine, lakini cha muhimu dhamira yangu ni iua, NIMETOKA. 1. Sijatoka kwakua sina ajira, ajira ninayo...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia alishalegea, ila sisi tumeingia kwenye mfumo wake kilaini sana

    Za ndani kabisa Unajua zile vurugu za Mo 29, Samia zilikuwa zinampa mawazo siku zote 40 kabla ya tarehe 9 ila alivyoona Jana watu wameandamana Kwa amani basi akasema haya manyumbu yashakuwa maoga yameingia kwenye mfumo Sasa Unaambiwa Samia ana furaha kuliko siku zote huko Chamwino sababu anajua...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hali ikiendelea hivi, hata vyombo vya usalama vitachoka kumlindia ugali wake

    Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda. Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe na wameishia kujichosha. Hata hivyo vyombo vya usalama wanachoka kuzurula na hayo magari, siku kuu...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

    Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee. Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wenje Hakuna Serikali Inayotaka Kuua Watu Wake

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema Serikali ya Tanzania ina wajibu na nafasi ya kikatiba kulinda maisha ya wananchi wake na mali zao, hasa wakati wa matukio yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Akizungumza katika mahojiano na Citizen TV ya Kenya siku ya Alhamisi, Wenje...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Najiuliza, baada ya muda wake kuisha, Samia ataenda wapi?

    Maana kama ataendelea kuishi Zanzibar I'm 100% atakua targeted. Samia kwa maumivu aliyowasababishia watanganyika hata kama atakua ametoka Madarakan watakua bado wanamsaka.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Afrika (Tanzania) haitopona mpaka Viongozi wake wabadilike

    Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao? Wasalaam Wakuu! Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa kina: Kwa nini viongozi wengi Barani Afrika ikiwemo nchi yetu Tanzania wakishapata madaraka hugeuka...
  18. JamiiForums Tanzania Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)

    Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)
  19. L

    JamiiForums Tanzania Katoa onyo kali kwa cabinet na CCM: Rais anawekwa na Mungu, msianze kampeni. Ni mpango wake kusimika mtu wake 2030

    Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
  20. JamiiForums Tanzania Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

    Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…