wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema. Akizungumza na wananchi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
  3. JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  4. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia Mwakinyo hushinda kwa mchongo/Maelekezo machawa wake mnatupopoa

    Nimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi. Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
  5. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  6. JamiiForums Tanzania Anaitwa Zuhura Othman aka Zuchu, yupo YouTube analipia wimbo wake Namba Zisome!

    Inasemekana watu wengi wameondoka mijini na kwenda vijijini kwao kusiko na fiber, kwahiyo wasanii wanakosa viewers. Ikumbukwe anavotoa Sukari 2021 alipiga views Mil 1 chini ya masaa 24. Sema nyakati zinabadirika. There’s a reason Reason was sponsored, because reason without reason won’t...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee warioba mpaka sasa anaona ilikuwa sawa kwa watu kuivamia nchi nzima kuharibu mali za umma na watu binafsi bila idadi wala ukomo

    Mzee huyu amewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti. Mzee huyu alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wakati watanzania wanaandika Katiba hii ya sasa na hata wakati wanaifanyia mabadiliko Katiba ili kuwa ya vyama vingi. Wakati wote huo alikuwa na sauti ya kutoa mapendekezo yake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  11. JamiiForums Tanzania Uvaaji wa Majoho, Gradu, Mahakama nakadhalika na Uhusiano Wake Kiimani

    1️⃣ Majoho yamekuwepo katika historia ya binadamu kama alama ya mpito wa hadhi—kutoka mtu wa kawaida kwenda mtu mwenye dhamana maalumu mbele ya jamii. 2️⃣ Kiimani, joho humaanisha kujitoa: mtu anaacha nafsi binafsi na kuingia kwenye wito, kiapo au agano linalomzidi yeye binafsi. 3️⃣ Ndiyo maana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tumwamimi nani kati ya Rais Samia na wasaidizi wake?

    Tangu ghasia za kuukataa uongozi wa Rais Samia ile tarehe 29 Oktoba mpaka leo naona kama kila Kiongozi anaongea la kwake. Na hii ndio inazidi kuleta mkanganyiko zaidi. Kila anakopita Waziri mkuu Mwigulu Nchemba anasisitiza ghasia zile zilikuwa ni sababu ya vita vya kiuchumi. Yeye mkuu wa nchi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

    Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake. Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi. Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
  15. JamiiForums Tanzania Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  16. JamiiForums Tanzania Wabunge na wake za watawala waachie posho na mafao ya UKIMWI na NHIF

    Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
  17. JamiiForums Tanzania Pope Leo XIV: Dini ziepuke kutumia imani kuhalalisha vurugu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao. Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…