Habari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia atakuwa hajaolewa na ikibidi yupo single na ni mwajiriwa huyo binti, nikaanzisha mazoea nae kimtindo...