wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pale Mfalme anapogeuka Watu wake!

    PALE MFALME ANAPOGEUKA WATU WAKE! Anaandika, Robert Heriel Pale Mfalme anapogeuka watu wake, Raia wa nchi yake hugeuka Watumwa wa Wageni. Wananchi hutumikishwa na Wageni, hufanywa vijakazi na vikaragosi, Pale Mfalme anapogeuka Nchi yake, Raia hugeuzwa vibarua pasipo barua ya Mkataba, ilhali...
  2. JamiiForums Tanzania Jehanamu ya moto ipo na itaifanya kazi yake siku itakapopokea wateja wake

    "Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV. Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia umefanya Kosa Kubwa kuonana na Manara na akifungiwa tegemea kuona Unafiki wake na atakavyokuchafua na TFF yako

    Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae. Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Baadhi ya ndoto ni njia ya mawasiliano ya kiroho. Kila ndoto huwa na maana au tafsiri yake ambayo ni muhimu kuifahamu. Maono mazuri ya ndoto ya mtu mwema ni sehemu ya arobaini na sita ya ufunuo au bishara, au Wahyi. Ndoto ni njia ya mawasiliano iliyobakia baina ya mambo ya Kiroho na...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri Msiba wa mkwe na mdogo wake na maziko siku moja je aende kumzika nani

    Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe. Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda...
  6. JamiiForums Tanzania UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

    Habari zenu wakuu, Hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu (wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi (umesimama). Nilifanya jaribio...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatumia nguvu kubwa kutaka wanachama wake kujaza fomu TUF 15?

    Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT. Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
  8. JamiiForums Tanzania 7 PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather

    Erika Goldring/Getty Images RICK ROSS CELEBRATES BECOMING A GRANDFATHER FOR THE 1ST TIME PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather. On Friday (June 24), the Maybach Music Group boss took to his Instagram Story with a post revealing the...
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

    Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto. Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake. Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi...
  10. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi alipobugia shaving cream ya madam wake

    Ilitokea huku kwetu Kwatogole, dada wa kazi kwenye familia ya mume mke na mtoto wa kike wa miaka miwili. Siku ya kwanza mtoto alikua analia baada ya kula, mama alitoa ki tub kidogo cha ice cream alimpa dada alimshe mtoto. Dada alionja kidogo aliipenda na kuwaza kuchwani hawa watu wanakula...
  11. JamiiForums Tanzania Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

    Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
  12. JamiiForums Tanzania Biashara anayoanzisha mwanamke awe mke au mchumba kwa mtaji wa kupewa na mume wake hua zina maisha mafupi sana

    Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaitosa Ukraine mdogo mdogo baada ya kuona kina ni kirefu na vikwazo havijaizuia Urusi kuendeleza vita wala havijateteresha uchumi wake!

    Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye hii vita. Na shetani anawatumia wote wanaohusika na vita hii ili kutekeleza agenda yake ambao ni...
  14. JamiiForums Tanzania Chupaya aliuawa na kijana wake wa pekee kisa ni mapenzi

    Chupaya alisoma masomo ya biashara pasi kujua huko mbele kutakuwaje. Aliajiriwa serikalini kwa muda mrefu akiwa Afisa biashara wa Wilaya. Siku moja katika kutoa leseni za biashara alikutana na Mhindi aliyemuomba wawe washirika katika biashara ya kupeleka matunda na mboga Arabuni. Mchakato wa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
  16. JamiiForums Tanzania Naliona anguko la Ramaphosa kama la mtangulizi wake Zuma

    Tarehe 9 mwezi wa pili mwaka 2020 Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa alikuwa mkutanoni Jijini Adis Ababa Ethiopia. Huko nyuma nchini kwake katika shamba lake la wanyamapori la PHALA PHALA lililopo Jimbo la Limpompo linatokea tukio la kuvunja na kuiba. Mfanyakazi wa ndani wa Rais pale...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

    Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajili ya kuamkia leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kijiji hicho...
  18. JamiiForums Tanzania Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

    Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji. Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
  19. JamiiForums Tanzania Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

    Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua. Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter...
  20. JamiiForums Tanzania Kila mtu anahitaji mchango wake kutambuliwa

    Habar Wana JF, Nimevutwa kuandika Uzi huu baada ya Leo asubuhi kumuaga dada wa kazi ambaye alikuwa hodari Sana katika kuwahudumia watoto wangu,kipindi chote tulicho ishi nae akifanya kazi vizur Sana na Kwa mapenzi makubwa,tunajisikia fahari juu yake. Kabla ya kuondoka nilimshukur Sana Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…