wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Starehe muhimu za mwanadamu na umuhimu wake Katika saikolojia

    Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS). 1. MAPENZI 2. PESA 3.CHAKULA 4. MZIKI 1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu kuanzia akiwa mtoto mpaka anakufa, mapenzi hayajali hari yoyote, uwe chizi, mgonjwa, masikini au...
  2. JamiiForums Tanzania Inawezekana shauku ya kufanya tofauti na mtangulizi wake ndiyo inayomponza?

    Ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu ya ndio na sio kutokana na hali halisi. Alipoingia tu madarakani 'kwa kudra' kama alivyojinasibu, alifanya mabbadiliko mengi kwa haraka na pengine kwa kutaka kuridhisha kundi dogo la watu wenye maisha bora maarufu kama wawekezaji. Huku watanzania wa hali...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adai kuwa ni sahihi kuchukua mapato ya wasanii wake kwa 60%

    Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake. Amesema anafanya hivyo kwani mziki ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa na mpaka msanii awe mkubwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Kocha Pitso Mosimane haji Wananchi Day kwasababu ya Yanga SC, bali ni Uswahiba wake mkubwa na CEO Senzo Mbatha

    Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu. Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na...
  6. JamiiForums Tanzania Hali ya baridi inayoendelea nchini mwisho wake lini?

    Kwa hii baridi inayoendelea nchini Ukute serikali ya SiSiEM Imekula hela ya joto 😂😂 Ni ajabu kuona dar leo hatutembei vifua wazi
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Unaujua mtaala wa elimu Tanzania? Au unashadadia tu kuwa haufai na ubadilishwe?

    Kumezuka makundi ya watu wanaoshabikia mabadiriko ya mtaala wa elimu Tanzania wakidai kuwa mtaala huu ni mbovu kwani hauendi na wakati na haumwezeshi mwanafunzi kutatua changamoto halisi za maisha zinazomkabili. Hofu yangu ni kuwa watu wengi hawaufahamu mtaala wa elimu Tanzania. Wamejiingiza...
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
  9. JamiiForums Tanzania MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

    Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu. Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kawaida yetu 'Waswaholi' Ajali ya Mtwara imeua Wengi, ila sasa Wote tuko tu kwa Mzazi aliyepoteza Watoto wake Wawili

    Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki. Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yaanza kumtenga Haji Manara, azungumza bila nembo za klabu na wadhamini wake

    Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake. Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri ya kumuhusisha Manara na uongozi wa klabu. Natoa pongezi kwa uongozi wa klabu ya wananchi kufikia...
  12. JamiiForums Tanzania Alikuwa akinicheka naogopa wanawake lakini alikuja kunikasirikika baada ya kujua nimetoka na mwanamke wake

    Niaje wakuu Hiki kisa Cha muda kidogo pia lengo la kuleta mkasa huu ni kuonyesha tu jinsi tukio hili la bila kupangwa lilivyo niletea heshima niliyokuwa navunjiwa Kwanza mimi kiasili nina aibu kiasi kitu ambacho kilisababisha nisiwe mchangamfu sana kwa wanawake lakini sio kwamba nilikuwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amuibua Kangi Lugola ugomvi wake na Karia

    Haji Manara amemtaja Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwenye ugomvi unaoendelea baina yake na Rais wa TFF, Wallace Karia
  14. JamiiForums Tanzania Faida na athari za Mwanaume kuwepo katika chumba wakati mwenza wake akijifungua

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia kuhusu mpango wa Wanaume kuruhusiwa kuingia katika vyumba vya kujifungulia wakati wenza wao wanapokuwa katika mchakato wa kujifungua. Kuna mambo ambayo yanaweza kutajwa kuwa ni faida au hasara za suala hilo kama ambavyo inafafanuliwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

    Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia Licha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mahari ya Fahyma Yaongezeka, Mashabiki Wake Wamjia Juu kwa Kumchana Makavu

    Fahyma au Fahyvanny ni mwanamitindo na sosholaiti maarufu nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba uzuri wake umeongezeka maradufu hivyo mahari imeongezeka kwa mwanaume yeyote mwenye mpango wa kumchumbia. Fahyvanny ambaye wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, uamuzi wa kuwafukuza wahindi Uganda ulikuwa ni mbaya, au utekelezaji wake ndio ulikuwa mbaya?

    Iddi Amin Dada ukimsikiliza kwenye kile kikao alichofannya na waandishi wa habari ili kutangaza lengo lake la kufukuza wahindi wote mchini Uganda, utaona kabisa kwamba lengo lake lilikuwa kurudisha uchumi wa Uganda mikononi mwa waganda wenyewe. Pia aliamini kwamba uhuru wa mwaka 1963 haukuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

    Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo. Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa INATIA HASIRA SANA
  20. JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…