wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Apple yashauri wateja wake kuupdate vifaa vyao

    Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika Apple imesema kuwa hatari hiyo inaathiri iPhones zilizoanzia kwenye modeli ya 6S, iPad kizazi cha 5 na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakataa ofa ya Korea Kusini ya kuacha nyuklia ili ipewe misaada ya kiuchumi, yamwambia rais huyo afunge mdomo wake

    North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
  3. JamiiForums Tanzania Mchango wa Walevi kwenye Uchumi; Japan yatoa wito kwa Vijana kunywa zaidi pombe ili kukuza Uchumi

    Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan.. Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe.. Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇 -- Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania China kupeleka wanajeshi wake Urusi kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi

    China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022. Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa. Aidha, China imekuwa ikiiunga...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Movements za striker wa Simba zinafanana kabisa na Mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic!! Ni suala la muda tu awadhihirishie ubora wake

    Bila ya salamu!! Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto aahidi utawala wake kutoingilia mawasiliano ya watu

    Ruto amewahakikishia wananchi kuwa atakapopewa Mamlaka kamili ya utawala, watu watakua huru kuwasiliana bila hofu ya kuingiliwa faragha zao na mamlaka. Akionekana kugusia ujasusi unaofanywa na mamlaka, Rais Mteule ameahidi kuirudisha nchi hiyo kwenye misingi ya Demokrasia na kwamba mtu yeyote...
  7. JamiiForums Tanzania Jamaa kutambulisha ma-Ex girlfriend wake wote ukumbini

    Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata. Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe. Bwana harusi huyo alimuuliza mke wake(Bibi harusi) Kama atakuwa amemkwanza lakini alisema hapana, Kitu hiki...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kilichomponza Raila ni urafiki na ufuasi wake wa sera za Hayati Magufuli, Chato Dynasty waangua kilio, walitarajia awape support 2025

    William Samoei Rutto ameshinda urais. Ushindi wake ni pigo kubwa kwa Chato Dynasty ambao walidhani kwamba Raila angeshinda, basi angetoa support kwa mtu ambaye angegombea urais kwa kundi la JPM hapa Tanzania. Nadhani mfumo nchini Kenya, baada ya kuona Raila yuko karibu sana na JPM, waliona...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ubalozi wa Marekani wavisihi vyama vya siasa kufanya kazi pamoja kutatua malamiko ya uchaguzi

    Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi. Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
  10. JamiiForums Tanzania Mlio kuwa mnamponda Moloko leo mmeona umuhimu wake?

    Jesus Moloko ana sifa kuu mbili. 1. Ni winga mwenye mbio. 2. Ana kismati sana. Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  12. JamiiForums Tanzania Utenzi wa Mwana Kupona na uchambuzi wake

    Picha yake Mwanahashima binti Sheikh. Shairi la Mwana Kupona lilitungwa ili kumnasihi jinsi ya kuwa mke mwema. Shairi hili lilitafsiriwa 1934 na Alice Werner na William Hitchens kwa mada ya kiingereza ‘wifely duties’ | Credits: Werner & Hitchens. Nagema wangu binti, Mchechefu basanati, Upulike...
  13. JamiiForums Tanzania Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

    Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana Kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kulamba na kunywa mchuzi wake utakuwa hauna kosa?

    Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni? Case study Haji manara! Sikio la kufa! Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mtoto akizaliwa anafanana na wazazi wake?

    Wazo lilinijia. "Bwana, Mwalimu, nina swali la dharura." "Ah, Lobsang, naona umemchagua mwanamke mrembo zaidi katika kundi zima. Kweli, wacha nifurahie uchaguzi wako. Huyu ni mwanamke mzuri sana, na tulitaka zilizo bora zaidi kwa sababu baadhi ya specimen za zamani katika baadhi ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyofanya Rais Samia ndani ya siku 503 za uongozi wake

    1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k 2. Rais Samia amewezesha Kuondolewa kwa kodi katika malighafi zinazotumika kutengeneza mitungi ya...
  18. JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

    Habari, Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate. Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi. Unashangaa anakuja jamaa na hela...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mama amuua mtoto wake kwa kosa la kufungilia bomba la maji

    Hii sasa ni hatari, hatujui dunia inaelekea wapi. Siku hizi ni kawaida kusikia mtoto kamuua mzazi wake au mzazi kamuua mtoto wake. Ni kawaida kusikia mume kamuua mke wake au mke kamuua mume wake. Yani ni vurugu mechi kila iitwayo leo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…