wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wakati tunapiga kelele za Bar kufungwa kuna watu wanauza kiwanda cha Tanga Cement awataki mbambamba

    Mhe. Waziri WA Fedha Bila kujali kesi zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwenye mabaraza mbalimbali amegongelea msumari kuunganishwa Kwa Tanga cement na Twiga cement Kwa maelezo kwamba serikali inaziona dola milion Mia NNE siyo zakuacha hivihivi. Nawakumbusha Tu maana mambo NI mengi uchaguzi...
  2. JamiiForums Tanzania Tabia njema wakati wa kula chakula

    Salamu. Tusichoshane hapa, Katika jamii iliyo staarabika kuna kanuni za kufuata kabla, wakati na baada ya kula chakula, sasa kanuni hizo ndiyo inaleta tabia njema wakati wa kula, sasa zifuatazo ni tabia njema kabla, wakati na baada ya kula. Kabla ya kula chakula zingatia kunawa mikono kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hamu ya tendo la ndoa wakati wa hedhi

    Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu. Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa katika siku za kukaribia kupevuka kwa yai. Ikiwa mwanamke atapata hamu na hisia ya tendo wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
  5. JamiiForums Tanzania Mzee wa upupu: Yusuf Bakhresa anaijenga na kubomoa Azam wakati mmoja

    SIKU moja baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/22, Yusuf Bakhresa, mmoja wa wakurugenzi wa Azam FC alitangaza vita kwenye mbio za ubingwa katika msimu unaofuata, 2022/23. Majina ya wachezaji wenye hadhi kubwa pamoja na wataalamu kwenye benchi la ufundi wakashushwa Chamazi kwa mbwembwe kubwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnapata hela za kurudisha wakati huku Kibamba tuna lami chini ya asilimia 5 jimbo zima?

    Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa barabara zilizopo chini ya Tanroads, alafu inapatikana hela ya kurudi serikalini? Hii si ni dharau kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  10. JamiiForums Tanzania Ukaguzi wakati wa kununua gari.

    Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used. Hii ni kwa gari ndogo tu. Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina ya gari. Pia kama tutakagua gari na ikawa na shida na hujaichukua, unaweza kutuletea gari nyingine...
  11. JamiiForums Tanzania Ifike wakati Wahubiri dini wamuogope Mungu japo kidogo

    Mtu na akli zake timamu kabisa anaenda kupanga foleni kupewa nguvu za kiume na muhubiri dini. Hizi dini zinazidi kupoteza maana sababu ya tamaa za wanadamu.
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Idara za ulinzi na Usalama za Tanzania zinafuatilia ya mchungaji Mackenzie wa Kenya, tusisahau mchungaji anayejiita Mbarikiwa, yuko hapa kwetu

    Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga. Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
  13. JamiiForums Tanzania Uaminifu wa mwanamke hujaribiwa wakati mwanamume wake hana chochote na Uaminifu wa mwanaume hujaribiwa wakati ana kila kitu

    Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake kwa sababu anaweza kuwa na fursa nyingi za kuwa na wanawake wengine. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

    Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Watu waliwekeza muda Wao mwingi kutuombea mabaya Simba SC Jana wakati Leo wana Mlima mrefu kwa Wapopo

    Jitu linaingia Kibanda Umiza halafu Wachezaji wa Wydad Casablanca FC wanakosa Magoli linaumia kweli kweli wakati lenyewe lina Kazi kweli leo kwa Wapopo ( Wanaijeria ) ambapo nina uhakika litafungwa tu.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

    Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu! Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote! Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi...
  17. JamiiForums Tanzania Sharti la kupitisha barua kwa mwajiri wakati wa kuomba kazi za serikali ni kikwazo

    Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa mwajiri husika, mfano mkurugenzi wa halmashauri. Kwa kiasi kikubwa hiki kimekuwa kikwazo kwa mtumishi...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha, Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k. Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly James Ntate aomba Sheria za Utumishi wa Umma zilizopitwa na wakati zifanyiwe marekebisho

    Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amechangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora na kuiomba Wizara ifanye baadhi ya Sheria. Mhe. Ntate ameiomba Wizara ya Utumishi ikaangalie upya sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…