INTRODUCTON.
Salaam, Shalom!!
(Kutoka 20:12) says: WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO, ILI SIKU ZAKO ZIKAWE NYINGI KATIKA NCHI UPEWAYO NA BWANA MUNGU WAKO.
Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume.
Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na...