wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje. Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
  3. JamiiForums Tanzania Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu. Tuliokuwepo...
  4. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanahistoria Anapokutana Njiani na Kizazi Cha Chief Marealle na Chief Maruma Wote Kwa Wakati Mmoja?

    INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA? Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa Tanganyika na raia wa kawaida. Halikadhalika na viongozi waliokuwa katika harakati za TANU za kupigania...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania inakabiliwa na Sheria iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha

    Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania Inakabiliwa na Sheria Iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha "Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovoti 400. Mheshimiwa Spika, mradi huu unahusisha kandarasi tatu ambazo ni ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati JPM alijenga uwanja mkubwa wa kimataifa wa ndege Chato, ambao hakuna ndege inayotua zaidi ya kunguru, shule ya wanafunzi 1500 haina choo

    Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani. Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nitaongoza maandamano wakati taifa likiwa kwenye maombolezo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza. " Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya Amani Jijini Mwanza, Alhamisi 15 February 2024 Taifa likiwa katika maombolezo ya Hayati Edward...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

    Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama. Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Mimi na washkaji zangu tuliugua homa ya tumbo wakati tuko Tabora

    Habarini wana jamvii Leo nimekumbuka hiki kisa tulichopitia na jamaa zangu miaka ya nyuma kidogo mkoani Tabora wenyewe wa kuita mboka manyema aisee ilikuwa hatari. Tulieenda tabora kuna mishe tulieenda kufanya kwa kipindi kile tulikuwa watu wa tatu tulifika tabora salaam kabisa kwa kuwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini mashirikisho ya soka yanang'an'gania nafasi ya mshindi wa tatu, hii nafasi imepitwa na wakati

    Salam wanaspoti. Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo. Timu zimekaa hotelini toka jumatano zinasubiri mechi ya fainali zaidi ya siku tatu hii yote eti...
  11. JamiiForums Tanzania Kuitwa Aptitude Test TCB

    Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
  12. JamiiForums Tanzania Kukumbatia na kuenzi dhana ya utawala wa kifalme kumepitwa na wakati, Waingereza na wengine wamerogwa na nani?

    Kuna huu Uongozi wa Kifalme, Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia. Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ambao hatukuitwa kwenda JKT tunapata wakati mgumu katika kuomba ajira, vigezo vinahitaji aliyepita JKT tunaomba ushauri tufanye nini?

    Ambao hatukuitwa kwenda JKT tunapata wakati mgumu katika kuomba ajira, vigezo vinahitaji aliyepita JKT tunaomba ushauri tufanye nini? Miaka ya Nyuma baada ya kumaliza kidato cha sita katika shule nafasi zilitoka kwa kuchagua idadi fulani ya wanafunzi kwenda kwenye mafunzo ya JKT -Mujibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

    Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena. Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
  16. JamiiForums Tanzania Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Signed out
  17. M

    JamiiForums Tanzania Neno kubarikiwa limeshuka hadhi. Wagalatia tunapita wakati mgumu sana

    Mzuka wanajamvi. Yani Papa katuangusha sana. Sasa hivi mtu unaogopa hata kubarikiwa tu na mchungaji. Yani hata humu jamvin upande wa pili wanatudhibiti sana katika hoja pinzani kwa kutuambia Nenda kabarikiwe. Unabaki tu umelegea na kunyong'onyea yani wanatuweza kichizi. Neno kubarikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  19. JamiiForums Tanzania Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali

    Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili kupunguza tatizo la Ukosefu wa elimu ya lishe na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa na Naibu katibu...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…