Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu
Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
Hope angelikuwa wapi leo kama asingeonwa na Mzungu kutoka Denmark?
Ilitokea huko Nigeria mwaka 2016.
Mzungu kutoka Denmark alimwokota mtoto wa kiume mitaani aliyekondeana sana kwa kukosa huduma muhimu.
Si kwamba huyo mtoto hakuwa na wazazi wa damu, bali alitelekezwa kutokana na shinikizo la...
Wakuu,
Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi.
Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa!
Kwenu wataalam...
Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia kwa njia kadhaa:
Kueneza Habari Potofu Kuhusu Wagombea wa Kike: Wakati mwingine, habari potofu zinaweza kutolewa kuhusu wagombea wa kike ili kuwaharibia sifa zao au kuwadhalilisha. Hii inaweza kujumuisha kusambaza...
ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0.
wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...
Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani.
Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani anaimba wimbo wa "Hadija".
Inaelezwa kuwa wakati anaimba wimbo huyo, Malu Stonch...
Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda?
Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else?
Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika.
Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman
Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali
Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa.
Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
CCTV Crime News
Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.
................
Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.
....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu
.....
Hili hapa pigo...
Kwako kichele CAG
Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo.
Sasa hivi kama...
Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.
Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi
Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
Baada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu, je ndo wakati wa kumleta ndugu Ally Hapi kwenye ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa Makonda? Let's wait and see.
Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi.
Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ...
katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu nchini..
karibu jumuaya nzima ya Africa inafahamu, Malawi wana uhaba wa chakula, Burindi na Sudani Kusini...
TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza.
Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...