Wakuu, '
Ushauri wa bure: Usikubali kabisa kuwa 'Official Photographer' wa marafiki zako mkienda out! 😂
Unateseka kupiga picha 200, unalala chini kutafuta angle, mwisho wa siku kwenye album nzima huonekani ata kwenye kona, unakuwa mpenzi mtazamaji tu.
Halafu kibaya zaidi, ukishalipa hilo...