wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasiasa wasiotutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe

    Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe. Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai. Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Tanzania kumpa maua yake Meya mstaafu Max kwa kuvumbua kipaji cha Alphonce Simbu na majina mengine makubwa kwenye riadha

    Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  4. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amekuwa kwenye wakati Mgumu sana hapa Yanga. Amekuwa akidharaulika

    Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara. Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunaagiza kuku kutoka Brazil wakati ardhi tunayo?

    Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide. The goal is to drastically reduce reliance on...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wawajubiswe kama watashundwa kutekeleza zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  8. JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
  9. JamiiForums Tanzania Nawapongeza Wakristo kwa kukemea Utekaji, Kwa kiasi Fulani Sasa Pametulia

    GT Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi. Sijajua wenzetu waislamu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaogopa kufa kwa kudai haki zao wakati walishakufa

    Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi wakati magufuli anakaribia kufariki alikuwa ametoa orders lakini watu flani walizizuia zisitekelezwe, ndio maana tulikuwa tunafichwa fichwa

    Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi. Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho. Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi. waliotaka...
  12. JamiiForums Tanzania Ndani ya hisia kali, machozi yakimtoka Zari wakati mume wake akipigwa kwenye ulingo wa ndondi

    Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana. Unamshahuri nini Zari. *** Mwanamama mfanyabiashara mrembo, Zari Hassan maarufu ZariTheBossLady alionekana kutetemeka sana baada ya mumewe, Shakib Cham...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Stop Kupoteza Pesa Hizi ni Imani 7 za Teknolojia Ambazo Zina Haribu Bajeti Yako Kilaa Wakati

    Hizi ni Myth 7 za Teknolojia Zinakupotezea Pesa Nyingii Mno Je, umewahi kuambiwa kwamba lazima ununue cable ya bei ghali ili kupata picha bora kwenye TV yako? Au kwamba kamera yenye megapixel nyingi ndiyo bora zaidi? Ukweli ni kwamba, kuna imani potofu nyingi kwenye teknolojia ambazo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Polepole anaendelea na destruction na character assassination, Anapaswa kuwepo mtu mwingine wa kuchochea uasi wa Umma (Civil disobedience)

    Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

    Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono. Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hichi ndicho kilichonitokea jana wakati naharakisha niwahi kawe

  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati wao, nitapiga sana block

    Siendekezi upumbavu.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt Mpango aiomba Benki ya CRDB kutoa elimu ya fedha wakati akizindua Tawi Buhigwe

    Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wa Shule ya Awali ya Feza Wajifunza Mbinu za Kujiokoa Wakati wa Moto

    Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo linawaka moto. Wakiwa chini ya uangalizi wa walimu wao na maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…