wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wilayani Serengeti (Mara) wapinga makazi yao kubomolewa wakati shauri lipo Mahakamani

    Licha ya kufunguliwa Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Kesi ya Ardhi Namba 00000897 ya Mwaka 2026, Wananchi, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, lakini oparesheni iliyofanywa katika Kata ya Kisaka vijiji vya Bolenga Wilayani...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kubadilisha jina la DIT kuwa TIT

    Pendekezo kwa Serikali: Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) iwe Tanzania Institute of Technology (TIT). Hadi sasa DIT ina Campus nne DIT main Campus (imeanzishwa 1957) DIT MWANZA Campus (Imeanzishwa 2010) DIT SONGWE Campus (Imeanzishwa 2014) DIT DODOMA Campus (Imeanzishwa 2024) Na upo...
  3. JamiiForums Tanzania Dejavu na afrika inavyowapita kwenye wakati.

    Msemo wa kukumbuka shuka kumekucha ni afrika. Dejavu japo inapingwa ni ile kwamba unaweza kuzani kuwa ulishawahi kuwepo au lolote ila ndio umeshakuwa hapo ulivyo. Afrika ni dejavu ya majuto na ningelijua.
  4. R

    JamiiForums Tanzania MMM: RANGO NA USANII WA KIMASAI WAKATI NDIYE MBAYA WAO

    Nimependa andiko la Martin Maranja Masese: Dear, RANGO. Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia yaliyofanywa na Serikali yako katili ya CCM. Wewe ni KATILI Rango, utamaduni wa mtu ndiyo utu wake Vazi la...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto 4 Wateketezwa kwa Maji Moto Wakati wa Ibada ya Kufukuza Pepo Bondo, Mchungaji na Viongozi Wawili Wakamatwa

    Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya. Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi

    Mazishi yanapaswa kuwa wakati wa kuaga wapendwa, kutafakari maisha yao na kuwafariji waliofiwa. Lakini kwa Padri Gichure, hafla ya mazishi ilikuwa pia wakati wa kuhoji ukweli wa simulizi zinazotolewa kuhusu marehemu. Padri huyo aliikosoa familia iliyokuwa ikiwasilisha historia ya marehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Kero: Wananchi Walia na Mateso ya Bima Kutotumika Kwenye Vipimo, Wizi wa Dawa na Uzembe wa Wauguzi

    Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
  8. JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Familia ya Urassa imesema haitaruhusu ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao Kijiji cha Nkuu Sinde, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Jane Urassa, ikieleza kuwa wanaotaka kumuaga wataruhusiwa kuhudhuria ibada itakayofanyika kanisani pekee. Msemaji wa familia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania OMBI MAALUMU: Machawa na Kina Juma Nkamia, Huu Ndio Wakati wa "Kumuonea Huruma" Rais Wetu Kipenzi—Kazi ya Machi 2021 Iishe Kabisa!

    Wana-JamiiForums, Machozi ya furaha yananilenga nikitafakari mapenzi makubwa ambayo Rais wetu mpendwa anayo kwa Watanzania, hadi baadhi ya wanasiasa wa upande wa pili sasa hivi wanakunywa chai Ikulu na kusahau mikutano ya hadhara. Kwa wingi huu wa kura na asilimia tulizonazo, hivi kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Hii sio AI. Haya ni matokeo ya kumchokoza mpasua mawe wakati wewe unaishi nyumba yenye madirisha ya vioo.

  11. JamiiForums Tanzania Hili kabila la Wachaga linakuaje moja wakati lugha ni tofauti?

    Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ? Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
  12. JamiiForums Tanzania Wakati sina pesa benk ilikataa kunikopesha leo na pesa wanalazimisha ni kope.

    Miaka 2016 nilikuwa na changamoto ya mtaji ili ni boost kufikisha malengo. Ila nilipo waomba benk waligoma kabisa japo nilikuwa na account yao. Nimejikokota we mungu si dotto magari mambo yapo mazuri. Sasa ule mzunguko wa import na export pesa kwenye account kila siku wana lazimisha ni kope...
  13. JamiiForums Tanzania Iliwezaje mpaka shaikh mwaipopo kuwa anaweza kuongea mbele media na kujinasibu wakati ni raia wa Burundi.

    Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda. Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake. Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
  14. JamiiForums Tanzania Ongezeko la gharama za 'direct cost' UDSM kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa wanafunzi

    Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻 Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%. Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uzembe mkubwa Makao Mkuu ya Utumishi Dodoma, ila hakuna wa kuwawajibisha

    Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo. Si Rais, Waziri...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro Mjini: Barabara ya kuelekea Kididimo iboreshwe wakati wa mvua itasumbua

    Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo. Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha ya SUA kuwa na magari na uwezo wa kufanya matengenezo ili ipitike vizuri. Hali hii imekuwa kero...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
  18. JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  19. JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…