wahitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Hakuna kipindi kizuri cha kusoma kwa utulivu kama baada ya kuhitimu chuo, hasa ikiwa lengo lako ni kuajiriwa kwa kupass written interview. Kujisomea baada ya kuhitimu kunaweza kuwa hobby kwasababu hakuna presha ya mitihani, hakuna deadline na hutapoteza muda kwenye masomo ya ziada yasiyohusiana...
  2. fine boe

    KERO Wahitimu wa Udaktari tunalalamikia kufungwa mapema kwa dirisha la maombi ya Internship

    Sisi wahitimu wa udaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) tunalalamikia utaratibu uliowekwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) wa kutoa siku saba pekee kwa ajili ya kufanya maombi na kuchagua vituo vya mafunzo. Cha kushangaza, dirisha hilo limefungwa leo licha ya...
  3. A

    HOJA Ongezeko la Vyuo vinavyotoa kozi ya Radiography: Je, hakuna umuhimu wa kuweka mitihani ya leseni kwa Wahitimu?

    Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na vyama vya taaluma husika na mamlaka husika za kitaaluma, haioni umuhimu wa kuanzisha mfumo wa mitihani ya leseni (Licensing Examination) kwa wahitimu wa kozi za Radiography katika ngazi za Certificate na Diploma kabla ya kuruhusiwa kutoa...
  4. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
  5. Abdul Nondo

    Kutelekezwa kwa kada ya Bayoteknolojia ni tishio kwa mustakabali wa wahitimu vijana, maendeleo na usalama wa taifa

    Kauli kuu: “Bayoteknolojia si tishio — bali ni fursa ya kulinda afya, kuongeza tija ya kilimo, viwanda na kuimarisha usalama wa taifa letu.” Ndugu Waandishi wa Habari, Ustawi wa kiuchumi na Maendeleo ya nchi unatokana na vipaumbele katika sekta ya Afya,Kilimo na viwanda.Haya ni maeneo makuu...
  6. A

    KERO Wahitimu wa Udereva IFDC Rufiji hatujapata vyeti miezi saba sasa na hakuna majibu

    Wahitimu wa Kozi ya Basic Driving katika chuo cha IFDC kilichopo Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Chuo hiki kilianzishwa kwa juhudi za Mbunge na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, na kinatambulika na VETA. Changamoto yangu ni kwamba tangu tumalize kozi hiyo, takribani miezi saba...
  7. G

    KERO UDOM SONPH wanachelewesha matokeo ya wahitimu

    Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa kufanya maombi ya utarajali yanayotakiwa kuanza tar 1 november.
  8. R

    KERO Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo

    Katika Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo. Kwa mfano, mwanafunzi anayesoma Accountancy anaweza kukuta somo linalopaswa kuwa la msingi (core subject) limepewa credit chache, hali inayoathiri mchango wake katika kukokotoa GPA. Hali hii inazua...
  9. A

    KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  10. A

    KERO Baadhi ya Wahitimu wa UDOM haturejeshewa overpayment tulizofanya kwenye ada

    Nina hoja kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) naomba kuwasilisha moja ya jambo ambalo halijatolewa ufafanuzi kamili kuhusu mwenendo (progress) ya ulipwaji wa Overpayment kwa sisi ambao tumeshamaliza. Kuna ambao tayari wamelipwa lakini kuna wengine bado pesa haijaingia na hakuna ufafanuzi...
  11. TPPB_Tanzania

    Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  12. M

    Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii siyo mchezo hapokei mshahara chini ya milioni 2.5

    Hawa wahitimu wa Class 2026 IAA tuwaambie yanayoendelea mtaani au tuwaache, anadai digrii suyo mchezo hapkei mshahara chini ya milioni 2.5
  13. A

    KERO Wanafunzi wa Uandishi tunalazimika kulika Ithibati mara mbili kwa JAB. Tunaomba utaratibu huu uangaliwe

    Habari, Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa ithibati kwa wanafunzi wanaohitimu shahada ya Mass Communication mwaka huu. Kwa sasa, hatuwezi kufanya kazi bila kuwa na ithibati kutoka JAB. Hata hivyo, ithibati ya awali inayotolewa ina muda wa miezi mitatu pekee, ikilenga...
  14. Best home tutor

    Nilipokuwa mtoto, nilifikiri kila mhitimu alikuwa amesoma. Sasa nayajutia maoni hayo

    Nilipokuwa mtoto, niliwatazama wahitimu kwa heshima kubwa. Kwangu, cheti cha chuo kikuu kilikuwa ushahidi wa juu kabisa wa akili, hekima, na maadili. Niliamini kwamba mtu yeyote aliyetumia miaka kusoma elimu ya juu lazima awe na uwezo wa kufikiri kwa kina, uadilifu, unyenyekevu, na ujasiri wa...
  15. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Newala (Septemba 2025) hawajapewa vyeti mpaka leo na wahusika hawatoi maelezo ya kutosha

    Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni. Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka huu ila chuo chetu peekee ndo atuchajpewa kila tukofatilia kwa mkuu wachuo anatwambia vyeti havipo...
  16. Wakusoma 12

    Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
  17. A

    KERO Wahitimu wa Technical Education in Engineering MUST tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutotambuliwa kitaaluma ipasavyo

    Sisi wanafunzi na wahitimu wa programu za Technical Education in Engineering (Civil, Electrical na Mechanical) katika Mbeya University of Science and Technology (MUST), tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutotambuliwa kitaaluma ipasavyo. Hali hii imesababisha ugumu wa kuomba na kupata ajira...
  18. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Afya Kilimanjaro (KICHAS) hatujapata vyeti, tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika

    Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika. Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
  19. L

    Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

    Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
  20. A

    KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
Back
Top Bottom