Wafanyakazi wa Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) wamegoma na kusimamisha shughuli zao za kikazi wakilalamikia kutowasilishwa kwa makato ya kisheria pamoja na kutotatuliwa kwa malalamishi yanayohusu ustawi wao.
Katika tukio lililoshuhudiwa ndani ya hospitali hiyo jijini Nairobi, wafanyakazi...
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, leo Novemba 24, 2026, amekagua ujenzi wa Soko la Kirumba, Wilayani Ilemela, Jijini Mwanza, unaotekelezwa chini ya Mradi wa Uendelezaji wa Miji Tanzania (TACTIC). Mradi huo wa Shilingi bilioni 14.7, unaojumuisha barabara ya kilomita 2.9 inayoelekea sokoni...
Malalamiko ya kucheleweshewa mishahara, kupunjwa malipo na makato yasiyoeleweka yameendelea kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya kazi nchini. Wakati baadhi ya wafanyakazi wakifikia hatua ya kugoma, wengine wakiharibu mali za waajiri wao, swali linabaki: Je, wafanyakazi wanazifahamu haki zao za...
Vurugu zilizozuka katika eneo la mgodi wa Jiuxing Mining Company uliopo Kijiji cha Kapanda, Kata ya Machimboni mkoani Katavi, yamesababisha uharibifu mkubwa baada ya sehemu ya makazi ya wafanyakazi kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo linahusishwa na mvutano mkali baina ya mfanyakazi mmoja na...
Hii dharau inayofanywa na watoa huduma wa tanesco, ni jeuri na kiburi! kwakuwa ndilo shirika pekee lililopewa dhamana hii ya kusambaza umeme nchini...
Likiwa chini ya sekta binafsi kama baadhi ya kampuni za simu...wafanyakazi wake pengine watakuwa na adabu na heshima kwa wateja...
Haiingii...
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Tandabui Polytechnic Institute, Mwanza. Sisi wafanyakazi, wakiwemo wakufunzi (tutors) na watumishi wengine, hatujalipwa mishahara kwa miezi mitatu sasa, huku tukiwa tunaelekea mwezi wa nne.
Tumekuwa tukiulizia mishahara yetu kwa viongozi wa chuo pamoja na...
Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania.
Soma pia...
Nina kero kuhusu utaratibu wa kazi katika baadhi ya idara za kiwanda cha SBC Tanzania Limited (Pepsi) jijini Dar es Salaam, hususan idara ya mauzo (Sales), ambapo tunalazimishwa kufanya kazi hata siku za Jumapili bila kupewa siku nyingine mbadala ya kupumzika.
Hali hii inatufanya kufanya kazi...
Wafanyakazi wanaoshiriki katika ujenzi wa mradi wa makao makuu ya PSSSF unaoendelea Kata ya Njedengwa, Dodoma, chini ya kampuni ya ujenzi ya Hainan International kutoka China, wanafanya kazi katika mazingira magumu kutokana na kukosa vifaa muhimu vya kujikinga.
Wafanyakazi hao hawapewi viatu...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo.
Kwa mfano, mtumishi mwenye...
Anonymous
Thread
afya
bila
halimashauri
idara
idara ya afya
katibu
njombe
sana
uhamisho
wafanyakazi
watumishi
zao
Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana.
Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma.
k
Anonymous
Thread
fedha
guard
jkt
psssf
sana
suma jkt
wafanyakazi
wakali
wake
Mambo Muhimu
Takriban wafanyakazi 60,000 wa Microsoft wanastahili kujiunga na mpango mpya wa kuacha kazi kwa hiari (buyout) katika nchi nne(Marekani, Kanada, India na Uingereza)
Hatua hii inakuja miezi sita baada ya Microsoft kutangaza mpango wake wa kwanza kabisa wa kustaafu kwa hiari kwa...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Baadhi ya wafanyakazi hawashindani tena kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Badala yake, wanashindana ili wawe karibu zaidi na wakubwa wao. Badala ya kuongeza ujuzi wao, wanajitahidi kujenga uhusiano na watu wenye mamlaka ndani ya taasisi.
Badala ya kuleta matokeo mazuri, wanashughulika...
Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi.
CHANGAMOTO KUBWA
Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
iangalie
nyingi
sekta
sekta binafsi
serikali
wafanyakazi
Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira.
Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
Anonymous
Thread
anafanya
changamoto
habari
kubwa
maendeleo
mgodi
musoma
sana
technology
ubaguzi
wafanyakazi
wazawa
wazi
wilaya
08 October 2026
Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc
Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
Habari,
Kuna kampuni inaitwa SprinyTz, iliyopo Makumbusho, Derm House, ghorofa ya tano. Kampuni hiyo inajihusisha na usambazaji wa huduma za fiber. Ilitangaza nafasi za kazi, tukatuma maombi na tarehe 1 Septemba tukaanza kazi.
Kampuni ilituajiri na kutuahidi kwenye mikataba kwamba ingetulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.