wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UK yarudi kwenye Umoja wa Ulaya kivingine, lengo ni kusaidia vijana wao kupata ajira barani Ulaya na kusaidia wafanyabiashara wake

    Kamishna wa EU bibie Ursula van der Leyen akiwa na waziri mkuu wa UK bwana Andy Burnham (katikati) pamoja na raisi wa baraza la Ulaya bwana Antonio Costa kwenye mkutano wa UK na EU mjini Brussels. Picha na Nicolas Tucat wa AFP UK leo imekubaliana na Umoja wa Ulaya kurudi katika umoja huo...
  2. Natoa maua kwa viongozi na wamachinga wa Mbezi Mwisho kwa kuboresha muonekano wa maeneo ya biashara

    MBEZI SASA IMEANZA KUPENDEZA SANA! Mbezi Mwisho sasa ukifika imeanza kupendeza sana kutokana na mpangilio mzuri wa maeneo ya biashara za machinga. Hapo awali, binafsi sikuwa napavutiwa sana kutokana na mpangilio mbovu wa maeneo hayo. Ilifikia hatua biashara zilipangwa hadi barabarani na kwenye...
  3. J

    Mfumo gani wa Kiuchumi utakaoweza kusaidia Wafanyabiashara kumudu pango kwenye masoko ya Halmashauli - Serikali inajenga masoko mazuri sana

    ๐—๐—˜, ๐—ช๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—”๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ช๐—”๐——๐—ข๐—š๐—ข ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—จ๐——๐—จ ๐—ž๐—ข๐——๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฃ๐—”๐—ก๐—š๐—ข ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—ฆ๐—ข๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—”๐—Ÿ๐— ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ? ๐˜๐˜ข๐˜ญ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ถ๐˜ณ๐˜ช ๐˜ป๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ป๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ซ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ด๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ต๐˜ถ๐˜ฐ ๐˜ท๐˜บ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช. ๐˜๐˜ญ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ท๐˜ถ๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ต๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ง๐˜ด๐˜ช, ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ณ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ช๐˜บ๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฆ ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช, ๐˜ญ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ต๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ฆ ๐˜ฏ๐˜ช...
  4. Wafanyabiashara 20 wa Kitanzania kunufaika na programu ya AfroGreen 3.0

    Na Mwandishi Wetu, Arusha WAFANYABIASHARA 20 wa Kitanzania wanaoendesha biashara zinazolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wamechaguliwa kujiunga na awamu ya tatu ya programu ya AfroGreen, inayolenga kuwawezesha kukuza biashara zao, kuvutia uwekezaji na kuongeza fursa za...
  5. Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk Bei nimenyooka na hakuna free delivery . Tupo kariakoo Magila na likoma. Check 0745588735 Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
  6. Heche na Lisu kuweni wafanyabiashara mtajirike achaneni na siasa hakuna mwanasiasa maskini wa Upinzani amewahi kushinda Chama Tawala Africa

    Wanasiasa wengi wa upinzani waliowahi kuvitikisa vyama Tawala na kuviondoa madarakani walikuwa wafanyabiashara mabilionea na matajiri mfano Hakainde Hichilema Zambia, Ruto kenya Msituletee siasa zenu za kimasikini masikini sisi
  7. O

    Ulaghai Eastleigh: Wafanyabiashara Wadaiwa Kufungasha Maji Kama Mafuta ya Kupikia

    Wakazi wa Eastleigh, Nairobi, wamezua mjadala baada ya video kusambaa mitandaoni ikidai kuwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu wanawauzia wananchi maji yaliyowekwa kwenye vifungashio vya mafuta ya kupikia. Katika video hiyo, chombo kinachofanana na kifungashio cha mafuta kinaonekana...
  8. G

    Changamoto za Usimamizi wa Bidhaa (Inventory) kwa Wafanyabiashara

    Habari wana JF! Kwa wale wafanyabiashara humu ndani, ningependa kujua: Kwa sasa mnatumia mbinu gani kusimamia bidhaa zenu (Inventory), kuanzia bidhaa zinapoingia hadi zinapouzwa? Ni changamoto gani kubwa mnayokutana nayo katika mchakato huo, na kwa mtazamo wenu, mnadhani ni mbinu au mfumo...
  9. K

    Wafanyabiashara Nchini Kunufaika na Biashara na Malipo ya Kimataifa

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa . Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
  10. A

    KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  11. Chivayo adaiwa kuacha madeni ya dola milioni 5.1 kwa wafanyabiashara

    Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell WICKNELL Chivayo, mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe aliyefariki hivi karibuni, anadaiwa kuacha madeni ya magari ya takriban dola za Marekani milioni 5.1. Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na chombo cha habari cha ZimLive, Oktoba 20, 2026...
  12. A

    KERO Hivi wafanyabiashara wa barabarani hawawezi kuuza bila kufungulia sauti ya spika juu?

    Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike. Kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara, hasa wale walio pembezoni mwa barabara, kutumia redio zenye matangazo ya...
  13. A

    KERO Tunaofanya biashara ya Saluni hatuna Elimu Kuhusu malipo ya Service Levy

    Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
  14. MWENGE WA UHURU NI FARAJA KWA WAFANYABIASHARA MKOANI RUKWA

    Bi. EVA MBIRU mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameishukuru Serikali ya Tanzania kutoa nafasi kwa wakazi wa Rukwa kuidhimisha kilele cha mwenge wa uhuru maana imewapa fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ujio wa wageni wanaotoka maeneo tofauti ndani ya Tanzania
  15. Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
  16. M

    Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

    Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light. Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
  17. JE, BIASHARA YAKO INA WEBSITE YAKE? | CAR SHOWROOMS NA WAFANYABIASHARA WA VIFAA VYA UJENZI

    Habari za wakati huu, wana JamiiForums. Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites katika kukuza biashara zao. Katika biashara ya sasa, wateja wengi hutafuta bidhaa kupitia Instagram...
  18. K

    Hivi ni kweli serikali haioni huu ukwepaji kodi wa wafanyabiashara? Usalama wa Taifa wako wapi?

    Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
  19. Chalamila: Machinga aliyepewa fremu mwisho miaka mitano, baada ya hapo nakufukuza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi. Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
  20. J

    Kuhusu kudisplay TIN kwa wafanyabiashara kwenye mitandao

    https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/ Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ