wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Serikali kupitia TAWA yatoa Bilioni 2 kunufaisha Wadau wa Utalii

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi zinazotokana na rasilimali za utalii. Fedha...
  2. A

    HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  3. F

    Wadau, kuna tatizo kwenye mfumo wa malipo kwa Control Number leo?

    Toka asubuhi nimekuwa nikijaribu kufanya malipo kupitia Control Number, lakini kila ninapojaribu malipo yanashindikana. Nimejaribu mara kadhaa bila mafanikio, hali ambayo imenifanya nikose huduma ninayohitaji. Naomba kujua, ni mimi tu ninayepata tatizo hili au na wengine pia mnakutana nalo...
  4. Jannatul Firdaus

    Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani: Wadau Wahimiza Jamii Kubadili Mtazamo na Kuvunja Ukimya

    Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO). Lengo kuu la siku hii ni kuongeza uelewa wa umma kuhusu afya ya akili...
  5. J

    Wadau wa Kariakoo napataje frem nzuri iliyopo mbele

    Mambo vipi wadau, natafuta frem nzuri iliyoko mbele Kariakoo. Karibuni wadau kwa maelekezo zaidi.
  6. K

    Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
  7. Ayos

    Nimeikuta huko fb. Je itakuwaje wadau?

    Itakuwaje hili likitokea japo sio busara kuwaza jambo kama hili 👇 IKITOKEA RAIS AKAFA NDANI YA SIKU 14 KABLA YA KUMTEUA MAKAMU INAKUAJE?
  8. O

    Asasi za kiraia -SADC zaomba SADC pannel of elders kufanya ziara na kukutana na wadau nchini Tanzania katika juhudi za kukwamua mkwamo wa kisiasa

    Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
  9. M

    Naomba ufafanuzi: Hii ni haki kweli? Nimelipa deni, lakini bado nakataliwa mkopo

    🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI? Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya. Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
  10. Tlaatlaah

    Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

    Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania. kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  11. Tlaatlaah

    Safari ya chadema kuchangisha milioni mia3.34 imefikia wapi ndugu wadau wa Jf?

    Naona hakuna updates tena kama awali, kuna changamoto yoyote?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  12. TheForgotten Genious

    Wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa wadau wanaochangia mataifa mengi kuwa na viongozi wa juu vilaza.

    Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo. Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
  13. Erick Martie

    Tuliomaliza shule ya Chekechea ya Step UP Nursery School ya Sinza miaka ya 90s nadhan mpaka miaka ya 20's. Mpo wapi Tujuane Wadau

    Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana. Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
  14. U

    wadau kisayansi nini hasa kinasababisha nguo ya ndani kuchafuka sehemu hiyo ?

    wadau karibuni jukwaani
  15. Extrovert

    Wadau wenye software ya office suite naombeni copy

    Nina shida na Microsoft office suite iliokamilika. Kama kuna link au source
  16. Jifunafu

    Salaam kwa wadau wa jukwaa la kilimo

    Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani. Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu ya kuelekea kule katavi kwa shughuli ya kilimo. Tangu wakati huo zilijitokeza changamoto nyingi...
  17. Matata25

    Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  18. Roving Journalist

    TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
  19. frenkimushi

    Wadau

    Ivi niwapi naweza pata wateja wakununuwa viatu kwajumla waku
  20. A

    KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Back
Top Bottom