wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waterloo

    Wabunge wapunguziwe Posho badala ya kuweka Tozo daraja la Tanzanite

    Nimesikia wabunge wameshauri Serikali kuweka tozo daraja la Tanzanite. Si vibaya kuweka mikakati ya kukusanya Kodi ila Kodi isimuumize mwananchi. Soma Kamati ya Bunge yataka wanaopita daraja la Tanzanite kuanza kulipia Nilikuwa na shauri Hawa wabunge tunawalipa mabilioni ya posho pesa...
  2. Sifi Leo

    Kwa hiyo Waitara, uko seriously bungeni kuna wabunge *******, wanaotokana na chama cha mapinduzi? Hahahaha wabunge wanapakuliwaaaaa!

    Lingekuwa bunge la vyama vingi ningeumia ila mpo pekee yenu sasa jamani ccm kuna michokoooo?imeingia mpaka bungeni?
  3. masopakyindi

    Wabunge wacharuka: Uwanja wa AFCON Arusha tumeibiwa...!

    Haya, kula kwa urefu wa kamba sasa ni too much. Wabunge wamelazimika kuhoji, gharama za kujenga uwanja wa AFCON Arusha zimepanda toka 187 billioni hadi 338 billioni. Wamejiuliza mbona kitu hii haingii akilini? Hivi nami najiuliza, hela ya ROAD FUND mbona inaliwa kijinga hivi?
  4. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  5. O

    Wabunge wakosolewa vikali kwa kupitisha Mswada unaoondoa wajibu wa IEBC kurusha Matokeo ya Uchaguzi Mubashara

    Wabunge wamekosolewa vikali na wadau mbalimbali baada ya kupitisha mswada unaopendekeza kuwa si lazima kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kurusha matokeo ya uchaguzi mubashara kutoka vituo vya kupigia kura. Hatua hii imezua mashaka makubwa kuhusu uwazi wa uchaguzi mkuu ujao. Sababu za...
  6. Nyani Ngabu

    Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  7. instinct desire

    Hatutambui Ubunge wa wale wabunge 19 lakini Ruzuku hatuachi. Hii ni kauli ya Lissu, tunaposema chadema ni makanjanja muwe mnaelewa.

    Pia Lissu aliongeza kwa kusema hatambui ubunge wa Aidan khenan lakini Ruzuku tutachukua hii nini hii watz wenzangu hivi mnaelewa kweli 😭.....hebu jiulize walichukua ruzuku kwa sifa zipi ili hali wanazikana sifa zinazowapa ruzuku, kama siyo UTAPELI na WIZI, Watanzania chadema ni kikundi cha...
  8. Mmawia

    Wabunge wamuunga mkono Dudu baya na chunga mgongo wako, Je watafukuzwa ubunge?

    Kufuatia mwana mziki wa Bongo fleva Dudubaya kuibuka na juhudi zake za kupinga ushogq nchini. Juzi tulishuhudia Basara wakimfungia bwana Dudubaya kufanya shughuli zake Na kupiga faini ya sh 3,000,000. Kisa kuwapiga marungu wale wasiyo linda migongo yao. Leo hii wabunge wamejitikeza kumuunga...
  9. K

    Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
  10. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  11. M

    Ulimwengu: Chaumma walipata kura ngapi kuwawezesha kupata wabunge viti maalum?

    Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita. Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi nilitegemea nilipata tu kwenye vyombo vya habari. Unajua mimi kwanza siruhusiwi kuobserve sisi...
  12. K

    Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  13. M

    Wabunge wamepiga kura kumchagua au kumkubali Makamu wa Rais?

    Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli? Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja? Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio...
  14. M

    Wabunge wakivuliwa uanachama wanaendelea na Ubunge ila Makamu aaaaa!

    Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa. Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua. CCM kajifunzeni CHADEMA tangu enzi za Zitto, Arfi na Prof Safari
  15. H

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  16. Waterloo

    Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  17. Zack Abdul

    Wabunge wamuunge mkono Ndejembi kuwa makamu wa Rais

    Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti...
  18. O

    Wabunge Wapitisha Sheria Kali Dhidi ya Urekebishaji wa Matokeo ya Michezo

    Bunge la Kitaifa limepitisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Michezo, 2026, unaolenga kukabiliana na visa vya kupanga au kuathiri matokeo ya mashindano ya michezo nchini Kenya. Mswada huo, uliodhaminiwa na Irene Nyakerario Mayaka, unapendekeza kuweka sheria kali dhidi ya vitendo...
  19. O

    Wabunge wa Uganda Waja Kenya Kutafuta Majibu ya Changamoto za Elimu

    Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao. Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
  20. O

    Wabunge Waidhinisha Njia Maalum za Waendesha Baiskeli na Watembea kwa Miguu

    Wabunge wameidhinisha Muswada wa Kenya Roads (Amendment) Bill, 2024, unaolenga kuanzisha njia maalum za waendesha baiskeli na watembea kwa miguu nchini. Muswada huo, uliowasilishwa na Mbunge wa Samburu West Naisula Lesuuda, uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa Alhamisi, Agosti 13, 2026. Iwapo...
Back
Top Bottom