waandishi

  1. keneddelly

    Fursa kwa Waandishi wa Kitanzania: Jiunge na Kentexa kama Founding Contributor

    Je, unapenda kuandika makala, kushiriki mawazo na kuanzisha mijadala yenye kujenga? Kuna fursa mpya kwa waandishi wa Kitanzania! Kentexa inafungua nafasi kwa waandishi, wachambuzi na watu wenye ujuzi katika maeneo mbalimbali kujiunga kama Founding Contributors (Waandishi wa Mwanzo)...
  2. K

    Hivi kweli Tanzania tuna waandishi wa habari ama tuna Mandondocha?

    Habari za wakati huu wakuu, Jana niliangalia mahojiano kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, na mtangazaji mkongwe, Ndugu Salim Kikeke kupitia kituo cha Crown FM. Niliyaangalia mahojiano yale kwa mshangao mkubwa sana kutokana na namna mwandishi huyu mwenye jina kubwa...
  3. Parabolic

    Waandishi wa habari watakiwa kuibua suluhisho la nishati safi ya kupikia

    Waandishi wa habari nchini wamemetakiwa kuandaa habari za kina zinazoibua changamoto zinazowakabili wananchi katika kuanza na kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia, ikiwemo gharama, usalama wa vifaa, upatikanaji na usambazaji. Wito huo umetolewa Novemba 13, 2026, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
  4. Parabolic

    MAIPAC, THRDC wawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Taasisi ya Waandishi wa Habari za Jamii za Pembezoni (MAIPAC), kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imewataka waandishi wa habari nchini kuimarisha uandishi wa habari za uchunguzi kuhusu mazingira ili kuongeza uwajibikaji na kusaidia kulinda rasilimali za...
  5. M

    Waandishi wa habari Tanzania wanaongozwa na Balile?

    Waandishi wa habari wa Tanzania wanaongozwa na Balile? Uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Mwaka 2016 alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa TEF. Mwaka 2021 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TEF. Tarehe 5 Aprili 2025 alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka minne.
  6. S

    Katika kuhangaika, chama cha kijani siku si nyingi wataitisha mikutano wa waandishi wa habari na swala la Lissu wataliongelea

    Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu. Moja ya jambo watalokujanalo...
  7. MamaSamia2025

    Naona sio sawa kwa hawa waandishi kumhoji Werrason kwa kilingala na kifaransa bila mkalimani wakati wasikilisaji na watasamaji hawajui kabisa hizo lu

    Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza. https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2 https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
  8. Idugunde

    Mahojiano ya Khalifa wa Ze marehemu Alute Mughwai yamethibistisha yupo vizuri. Huwezi kulinganisha na waandishi uchwara aliowahi kuwataja hayati Mkapa

    Kijana ametulia. Anauliza maswali kwa umakini. Very analytical. Hata marehemu Alute Mughwai alikiri kumkubali. Waandishi uchwara kazi yao kujipendekeza na kuulizq leading questions. Kuandika makala ndefuuu kama treni la mkeka wa vijana wanaobeti. Kila kazi inahitaji kipaji.
  9. Troll JF

    Nabii Godbless Lema ataahirisha Mkutano wa waandishi wa Habari leo?

    Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
  10. E

    Jeshi la Polisi laongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari

    Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa. Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
  11. Idugunde

    Mzee Salim: Waandishi wengi wanajipendekeza ili kupata teuzi.

    Hii lina ukweli ndani yake👇
  12. Waufukweni

    Mwandishi Salim: Siku hizi Waandishi wanajipendekeza kupata Teuzi, wameacha kuandika mambo ya Wananchi

    "Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!" "Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
  14. G

    Waandishi wa Habari za Uchunguzi, tusaidieni katika hili

    Tuthibitishe kama kweli ni mtanganyika halisi. Tujue jina la mke wake. Tujue majina ya watoto wake ili tuweze kujua kama kweli ni mkatoliki au alishabadiri imani yake kama inavyodaiwa. Asanteni.🙏
  15. N

    Tunatafuta Kampuni za Habari au Waandishi wa Habari Huru kwa Ushirikiano wa Kimkakati (Strategic Partnership).

    wakuu kwema, tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  16. R

    Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  17. Idugunde

    Hatuwezi kutoboa, waandishi wa habari vilaza na hawasemi ukweli.

    Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia. Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili. Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano...
  18. ugali dagaa

    waandishi wa habari kuwahoji watu kwa video call huku wakiendesha gari hii imekaaje

    salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
  19. Roving Journalist

    Msimamo wa ACT dhidi ya Operesheni ya Serikali kuwaondoa Wamachinga Nchini

    https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026 Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
  20. Manyanza

    Live kutoka Serena Hotel, Sandaland anazungumza na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/qn7FSG-L5wc?si=CVINE4L-6CTbtkhD
Back
Top Bottom