Unaleta mfumo ambao watu wanasoma Sayansi, lakini hawapati hata fursa ya kujifunza Biashara kwa kina. Unawajengea uwezo wa kuwa wataalamu wa kufanya kazi ndani ya taasisi na kuajiriwa na waajiri, lakini hauwaandai vya kutosha kuwa wamiliki wa taasisi hizo.
Daktari anafundishwa kutibu, lakini ...
Miaka ya karibuni, sekta binafsi imetanuka sana na imeendelewa kuwa sekta inayoongoza kwa kutoa ajira nyingi nchini! Ongezeko la wawekezaji wa ndani na nje ya nchi si tu linasaidia kukua kwa uchumi wa nchi, pia linatoa mchango kwenye ujuzi na maarifa kwa nguvukazi ya ndani! Sekta za kilimo...
Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya
Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema!
Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo;
Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa...
Ni kuhusiana na agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara kuwa shilingi 308,000. Pamoja na maelekezo hayo kutolewa na kurudiwa mara kadhaa, kuna baadhi ya makampuni bado hayatekelezi kabisa. Mfano, kampuni ninayofanyia kazi—Lake Lubes iliyopo Kigamboni, Vijibweni—hadi leo hawajaongeza...
Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
Wakuu!
Hebu tupeane uzoefu kidogo
Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi?
✅ CV yako ilivyoandikwa?
✅ Uzoefu wako kazini?
✅ Ufaulu/GPA yako?
✅Kipaji?
✅ Au chuo ulichosoma?
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bila
kutangaza
meli
mpya
nafasi
sawa
shirika
taasisi
taasisi ya umma
tasac
umma
uwakala
vigezo
waajiri
wafanyakazi
wake
waliokuwa
wenye
Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi.
Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa waajiri wa kutokea Asia.
Na Mwandishi Wetu.
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili.
Akizungumza katika mahojiano na kituo...
Wakuu,
Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa.
Kwanza wananchi wengi wanakua makazini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Serikali nayo imeweka muda...
OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma.
Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya kuachishwa kazi iko mezani inakusubiri
Jambo lingine ni kwamba ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi...
Kuna baadhi ya waajiri wana tabia ya kuomba vitu vingi sana kwa mtu alietuma maombi ya kazi
Mfano kuna taasisi flani waliwahi kutangaza kazi lakini kwenye usaili wanakuambia uende na barua tatu za wadhamini wakiwa wameambatanisha na barua zao za utambulisho toka serikali ya mtaa pamoja na copy...
Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.