vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

    Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema) Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno Nadhani hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Msemaji wa IRGC: Uzalishaji wa makombora unaendelea hata wakati wa vita

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na hakuna tatizo maalumu katika suala la hifadhi ya makombora yetu." Brigedia Jenerali Ali...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kwani akikifanya Iran vita inaisha

    Mwenye ufahamu anisaidie Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kuwa akikifanya Iran vita inaisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro na Hatari ya mgogoro wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
  5. A

    JamiiForums Tanzania Saud Arabia ameamua kuingia vita na Iran

    https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia. Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakiristo wengi hawawajui vizuri waislamu wa kweli katika vita

    Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa. Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko. Kuna waislam wakifa vitandani walikua wakilia wakitamani sana wafe ktk vita. Wakiristo wakiwaua waislam wanaona kama...
  7. JamiiForums Tanzania Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

    Hello Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa. Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
  8. JamiiForums Tanzania Suala la Iran limeshakuwa gumu? Trump anadai kuna nchi hazina shauku ya kuisadia Marekani

    Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz, licha ya kuwa nchi hizo zilikuwa zinaitegemea Marekani kiulinzi kwa zaidi ya miaka 40. Trump anadai...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Vita ya week 2 tu Trump ashakuwa hivi!!

    Niaje waungwana Kwa sasa Trump asha panic, anagombana na kila nchi ili apate msaada wa kupambana na Iran. Iran hii ambayo yeye (Trump) alipoingia madarakani 2016 - 2020 aliiongezea vikwazo vikali mno ili kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi. Iran hii ambayo maraisi wote wa Marekani, na washirika...
  10. JamiiForums Tanzania Tunapoelekea March 17: Ili ushinde Vita za kisiasa itakupasa aidha uwe Mwanahistoria mzuri au jasusi bobevu

    Hamjambo wote! 1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi, polisi au mwanausalama mbobevu. 2. Kwenye siasa za dunia. Hasa ukiamua kufanya siasa ngumu, zakibabe...
  11. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

    Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  14. JamiiForums Tanzania JAMIIFORUM DAILY: Wachambuzi wa vita ya US-ISRAEL/IRAN wakibishana ONLINE.

  15. JamiiForums Tanzania Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  16. JamiiForums Tanzania Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

    1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai. 2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani wa Trump kwa Ghaz'aa. 3. Kuzingirwa na vikwazo dhidi ya Iran lazima viondolewe, na mali zake...
  18. JamiiForums Tanzania Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  20. JamiiForums Tanzania Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…