vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

    Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa. Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo kuanzia mida ya 4 hivi
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya AS VITA na Florian Ibenge nani kaisha ?

    Uwezo wa timu ya soka ya DRC ya AS VITA bila shaka umefikia kikomo , hawana jipya wala hawana uwezo tena wa kufanya lolote kwenye soka la Vilabu barani Africa , nimeifuatilia timu hiu kwenye game zote za club bingwa africa zinazoendelea , hii timu imekwisha . Sasa swali langu ni hili ...
  3. JamiiForums Tanzania FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

    00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba 45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga anaelekea kushinda vita dhidi ya corona iliyomuathiri, hongera viongozi wetu kwa kuweka kila kitu wazi

    Huu ni mfano mzuri sana kiuongozi, corona sio gonjwa la aibu hadi ufiche fiche mara sijui changamoto la kupumua na pumba zote.... ODM leader Raila Odinga is out of danger, having tested negative for Covid-19. The news was announced on Wednesday, March 31, by the ODM party on social media...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

    Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani. Hofu yangu Kubwa...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Watani zetu wa kisiasa CCM chukua wazo hili kwa moyo mweupe, siasa sio vita

    Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh jpm(Rip) Chama chake ilikua posta kwake ila barua ilikua ni ya wazi KWA watanzania wote. Mada husika...
  7. JamiiForums Tanzania CAF yamtaja afisa usalama mechi ya Simba Vs AS Vita

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo) utakaochezwa Aprili 3, 2021 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Yaelezwa Marekani haiwezi tena kushinda vita

    Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50 kwenye nchi za Vietnam, Iraq na Afghanistan. Pamoja na hivyo pia ametoa utabiri kwa uoni wake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la Kiufundi na Tahadhari kwa Simba SC kuelekea katika ' Desicive Game ' yake na AS Vita Club tarehe 2 April, 2021

    ANGALIZO Nitakayoyaandika (Kuyaeleza) hapa ni Maoni na Mtizamo wangu Mimi All - Rounder na sikulazimishi uukubali bali uheshimu tu tafadhali. PONGEZI Nisiwe mchoyo wa Pongezi kwa Mafanikio haya makubwa ambayo kwa sasa Klabu ya Simba imeyafikia ikiwemo Ushindi wake wa jana wa Magoli 3 kwa 0 na...
  10. JamiiForums Tanzania Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

    Hii dhana ya vita vya kiuchumi inachanganya sana. Maana ikiangaliwa kwa upande mmoja watu wengi hudhania kuwa vita hivi huwa vinapiganwa baina ya taifa maskini lenye rasilimali zake dhidi ya mataifa matajiri yenye nia ya kunyonya rasilimali zake. Tafsiri sahihi vita vya kiuchumi ni mikakati au...
  11. JamiiForums Tanzania Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

    Bahati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani. Vita ya kiuchumi maana yake ni mgongano wa kiuchumi unaotokea baina ya mataifa mawili. Wakati mwingine msuguano huu unaweza kutokea baina ya mataifa mengi lakini yenye pande mbili zilizoungana direct or inderect zenye nguvu...
  12. JamiiForums Tanzania Vita vya miaka 10 vyaua watu wapatao 400,000 Syria

    Idadi ya watu waliokufa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria imekaribia laki nne tangu vilipoanza muongo mmoja uliopita, na hadi sasa hakuna ishara ya lini vitamalizika. Kwa mujibu wa Shirika la Kufuatilia Haki za Binaadamu la Syria lenye makao yake nchini Uingereza, idadi...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

    Juzi jioni bila kutarajia niliwakuta hawa wazee mtaa wa Tandamti ndo wanafunga biashara mapema saa 10. Nawauliza imekuwaje? wakanambia kuna kikao cha dharura. Nikawauliza kuna nini? Msafisha viatu akasema alitaka kusoma ujumbe wa WhatsApp ulosema kwamba uvumi na uzushi dhidi ya kiongozi wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kijasusi vya kisovieti vilivyotumiwa kipindi cha vita baridi vyapigwa mnada

    Vifaa vilivyotumiwa na majasusi wa Umoja wa Kisovieti katika vita baridi hivi karibuni vyanadiwa. Kikundi cha urithi wa vita baridi ikiwemo silaha za siri za Umoja wa Kisovieti hivi karibuni kimenadiwa kwa paundi laki 3.65 za kiingereza. Vitu hivi mia nne vilihifadhiwa na mkusanyaji kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania KKKT yasitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka ili kuepuka maambukizi ya Covid-19

    Askofu Dkt. Frederick Shoo Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, ametangaza kusitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka, lengo likiwa ni kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Alitoa agizo hilo katika ibada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Harusi za Wasomali ni nusu vita

    Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi. Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia. Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani...
  17. JamiiForums Tanzania Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

    Katika ulimwengu huu uliostaarabika Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli. Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber, Skype , zoom , Microsoft teams nk Hii yote ni kupata...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Yanga hii al ahly au vita wangekufa 5

    Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri tarehe 23 wangejua kweli mnaongoza league,halafu bodi ya ligi bado mnachukua rushwa za MO naona kalinyo...
  19. JamiiForums Tanzania Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

    Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
  20. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Rais Magufuli anaanza Marais wengine wanafuata

    Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia mapambano yake na rushwa, wafanyakazi hewa, matumizi mazuri ya pesa za umma, usimamizi mzuri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…