vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chonde Chonde: kama huna akili usianzishe vita

    Pamoja na mifumo ya ulinzi waliyokuwa wanaitegemea Iran kupigwa na Askari WAKIKE wa Israel na kuharibiwa mpaka Iran wameogopa kujibu shambulizi, haikuieshia hapo. Njia aliyokuwa anaitegemea Iran ya kupitisha silaha kuingiza nchini kwake imesha fungwa na mashambulizi yanayoendelezwa na Israel...
  2. JamiiForums Tanzania Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

    Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem. Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa. Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila...
  3. JamiiForums Tanzania Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  4. JamiiForums Tanzania Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  5. JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Vita ya Syria na Waasi

    Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa na serikali kwa mara ya kwanza katika miaka mingi. Jeshi lilisema Jumamosi kuwa makumi ya wanajeshi...
  6. JamiiForums Tanzania Katika kuwalinda watoto, mambo kama haya mitandaoni ndio ninayoyapiga vita Kila siku

    Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho. Narudia kama tutashindwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya upuuzi Huu unaoendelea, ni wazi tutakua na...
  7. JamiiForums Tanzania Wadau tuliangalie hili la Israel na vita vyao

    Kuna mambo yanashangaza na kustajabisha, Israel inapopigana vita na upande mwingine sikumbuki ni lini aliomba mazungumzo ya kusitisha vita. Ila ikitokea mapambano yanahamia upande wao ni wepesi sana kuomba kusitisha vita, sijaelewa kwanini wanakuwa wepesi kuomba mazungumzo?? Mfano turudi...
  8. JamiiForums Tanzania Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

    Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya. Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  10. JamiiForums Tanzania Vita ya tatu ya Dunia (WWIII) wewe upo upande gani

    Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi. Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani Taiwan ataweza kukabiliana na China ki vita kama ambavyo Ukrainein?

    Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan. Siku vita hivi vikizuka kwa mara nyingine tena kwa ukubwa wa vita kamili ukiondoa hizi choko choko za sasa. Je, ni kwa namna...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Hata mje na mabomu, mabunduki na magari yenu ya vita, kesho tutawashinda!

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko Singida kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa. Lissu akiwa anazungumza leo Singida amesema kuwa CHADEMA itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa haki na hata kukiwa na bunduki pamoja na magari ya vita bado tu watashinda. "Nyie Mapolisi...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

    Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: CCM haitaji kubebwa, Siasa sio ugomvi wala vita

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema siasa sio ugomvi wala vita, hivyo amepongeza kuona kiongozi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) akiwatambulisha wagombea wa CCM. Makalla amesema hayo leo Novemba 24,2024...
  15. JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa vita ya Tanzania na Uganda?

    Kwanini Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa Vita ya Tanzania na Uganda..?
  16. JamiiForums Tanzania Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

    Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum. Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui. Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate...
  17. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kwa vita zinazoendelea baadhi ya Nchi kufanya ndiyo sehemu ya majaribio ya silaha

    Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli . Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha . Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
  18. JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?" Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia ya 3 kutokea? Na JE, tujiandaaje??

    Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine kutumia Silaha za masafa marefu kushambulia ndani ya Urusi, basi Urusi itahesabu kuwa NATO imeingilia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Vita inayopiganwa ndani ya matumbo ya wanawake Walio ndani ya Ndoa, (Eve vs Mary)

    Salaam, Shalom! Ukitamka tu NDOA Takatifu, umekaribisha vita ,tena Si vita ndogo ni vita kuu, vita ya kuwania funguo za vizazi. Naweka seat, Nitatejea kusimulia sawasawa na nilivyosikia rohoni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…