Tupige Vita Roho ya Yezebeli
Yezebeli ni Nani
Yezebeli alikuwa ni mwanamke mwenye asili ya nchi ya Lebanoni, mahali pajulikanapo kama Sidoni (1Wafalme 16:31), karibu sana na mji wa Tarshishi, ule mji ambao Nabii Yona alienda kuhubiri (akaacha kwenda mji wa Ninawi alioagizwa na Mungu). Alikuwa...