vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wakenya wameweza vipi kuwa na lipa namba mpaka kwa boda boda na wauza mboga?

    Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo! Hawa jamaa ukifika kwao kila mahali kuna lipa namba, kuanzia boda boda, wamachinga barabarani, wauza mboga mpaka daladala! Yaani...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya OFFSIDE yaanza kufanyiwa majaribio! Vipi ije na Tanzania au unaona itaharibu mchezo wa Soka?

    Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea! Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania NITAWATOFAUTISHA VIPI !??

    Wakuu Habari za Uzima, Kama Mwanaume Kamili kuOA Hakuepukiki. Nami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi, Threads Nyingii humu JF, Na Kufanya Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST Option Kuingia Nao kwenye NDOA. 1. Wakurya 2. Wakinga 3. Wabena 4. Wahehe 5. Waha 6. Wasukuma...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mzima unaenda kugombania usupply jezi badala ukomae timu inashinda vipi

    Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imebadili ratiba ya mitihani kisa El-Nino. Vipi kuhusu wanafunzi wanatakiwa kwenda pre form one Mwezi huu wa tisa na wa kumi mwanzoni?

    Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Vipi watu wangu wa nguvu mipango yenu ya 2026 inaendaeleaje😁

  9. JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Sandaland: Vipi mbona kimya???

    Nilitegemea baada ya Speech ya Jana ya Waziri, leo Mzee wa Kokoto au Piko anayemtetea Sandaland aje na Come back ya kibabe...vipi mbona kimya???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kama El nino hii ijayo ndio "Gharika" ilee tuliyowahi kusimuliwa?

    Kuna kipande nimepita pale maeneo ya Mbezi kibanda, kuna kijumba kando ya daraja huwa wanakutana na adha mara nyingi wakati wa mvua,haswa inapoongezeka kidogo tu (juu ya wastani)na maji ya mto yakiongezeka. Na ni kama nimesikia Wanasayansi huko wameongeza kiasi cha tahadhari. Tutarajie makubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa wanawake inaku vipi namna hii

    Hivi wazee mwanamke mwenye umri chini ya miaka 30 na matiti tayari yamelala yaani yamedondoka kabisa na wakati hana mtoto hata mmoja kitaalamu hii inamaana gani? 1. Je katumika sana yani kala paipu nyingi za aina tofauti tofauti? 2. Je kawahi kutoa mimba? 3. Je ndivyo yalivyo? 4. Je jibu...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

    Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life. Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni?? Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage. "NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI" "USHANTA"...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

    Kuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa! Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca! Kwa nini Saudi walielie na...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

    Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi? Wajuzi naomba mnijuze
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mvua huko kwenu vipi , ukame ulizidi. Huku inanyesha sasa hivi

    Huku mvua inapiga vema. Hapo ulipo vipi?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Lema vipi? Ilikuwepo?

    Nimekuwa nje ya mawasiliano.
  18. JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
  19. JamiiForums Tanzania Tigo App yangu imedukuliwa, Wengine vipi?

    Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction. Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
  20. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu Kwa Dr. Nchimbi na Kujiuzulu Kwa Prof. Malima Kunashahabiana Vipi?

    https://youtu.be/3gY5VgA-BUA?si=Zc6hjZOu27FXtDs4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…