Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM.
Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana...