viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Haya wewe kiongozi wa dini, Jaji Ndunguru na wenzake si wanasali kanisani kwako? Je kesho utawafanya je

    Wewe kiongozi wa dini, Tafadhali kesho hawa waliotoa hukumu asiwape mvinyoooo,wala mwili wa yesu Kristu lasivyo ni aibu na aibu kubwa Je jaji masatu kesho unaenda je?
  2. L

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
  3. Joseph Ludovick

    Komredi Kawaida yuko sahihi, Viongozi wa dini wamefeli

    Hoja ya Komredi Kawaida kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika maadili ya waumini inastahili mjadala wa kina. Si kwa sababu viongozi wa dini wanapaswa kubeba makosa yote ya wanasiasa, bali kwa sababu malezi ya kiroho na kimaadili ni sehemu ya dhamana yao. Katika maadhimisho ya kuwaombea...
  4. M

    UVCCM wasema chanzo cha maadili ya wanafunzi wanaodai kuchukua Mabwana ni viongozi wa dini wanaohubiri Siasa

    UVCCM Yawatetea wanafunzi waliotishia kuchukua mabwana za wakinamama mtaani, Sasa wasema chanzo cha hayo yote ni Viongozi wa Dini wanaohubiri Siasa. Hapa katikati kulikuwa na kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maadili na malezi ya vijana. Kuna vijana walifanya utovu wa nidhamu...
  5. Zack Abdul

    Siku ya pili ya viongozi wa dini kujadili amani

    Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
  6. L

    Viongozi Wa Dini Waache Kuchafua Nchi Yetu. Sisi Hatuna Wakimbizi na Hatuna Machafuko wala Vurugu wala Vitisho vya Kusababisha Watu kuwa Wakimbizi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimemsikia Kiongozi Mmoja wa Dini Eti anasema Tanzania Tumetoa Wakimbizi. Ningependa kusema Tanzania na Kama Taifa hatuna wakimbizi na Hatujatoa Wakimbizi . Sisi ni Taifa na Kisiwa cha Amani Cha Kupigiwa Mfano Duniani Kote. Viongozi Wa Dini wajifunze kutofautisha Kati...
  7. Troll JF

    DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
  8. Waufukweni

    Jeshi la Polisi: Tunaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini wanaopanga kwa siri kufanya vurugu

    Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote...
  9. A

    Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

    Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29. Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha...
  10. C

    PostGE2025 Baadhi ya 'Viongozi wa Dini' wahimiza kuikosoa Serikali kwa HEKIMA na BUSARA

    Baadhi ya Viongozi wa dini nchini, akiwemo Sheikh Khamis Said Mataka, Padri Dkt. Joseph Matumaini, Modest Pesha na Kanali Samuel Mkami, wamesisitiza kuwa viongozi wa kiroho wana wajibu wa kuikosoa na kuinasihi serikali kwa hekima na busara pale inapokosea, huku wakihimiza ujasiri wa kusema...
  11. ChoiceVariable

    Watanzania Wanawadai EL Nino, Viongozi wa Dini Wadai Walifunga na Kuomba El Nino Isije na TMA wanasema El Nino ilianza mwezi wa 5. Tushike la Nani?

    My Take Tushike lipi? https://www.instagram.com/reel/DevpsREotHp/?psln=ZXdlbzlocTFxODEy Kutoka Kwa TMA wao wanasema El Nino ilishaanza Toka mwezi wa 5. https://www.instagram.com/reel/DexIUhdsYeW/?obrf=MWhuZXZzbGpiY2NodA== My Take 2 Watanzania ndio watu pekee Duniani wanaoombea wapate majanga...
  12. Q

    Kama Serikali ya CCM imechoka kukaa madarakani ithubutu kuwakamata viongozi wa dini

    Imani ya dini ni tofauti na imani ya itikadi ya vyama vya siasa ingawa zinaweza kufanana kwenye maeneo fulani, ila kwa ujumla, Imani ya dini inahusu masuala ya kiroho, uhusiano wa mwanadamu na Mungu wake, imani kwa Mungu, wakati imani ya itikadi za kisiasa inahusu namna jamii inavyopaswa...
  13. J

    Spika wa Bunge Mussa Azzan aishambulia Chadema waziwazi. Je, madai yake ni sahihi, au amejizima data?

    ..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema. ..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa. ..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania. ..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji. ..Kwa kauli hii ya Spika Zungu...
  14. Waufukweni

    Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  15. M

    Makonda: Kuna Askofu umaarufu wake wote ni kuikosoa serikali. Kama kuna wala rushwa ni nyie mmefeli viongozi wa dini

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amezungumzia tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuikosoa Serikali, akidai kuwa kuna askofu ambaye umaarufu wake umejengwa katika kuikosoa Serikali.Makonda amesema, “Kuna askofu umaarufu wake wote ni kukosoa tu Serikali,” kauli...
  16. Yoda

    Wanandoa wakigombana waende kwa therapists wa ndoa badala ya wazazi au viongozi wa dini.

    Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa. Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
  17. T

    Makonda asipotoshe umma, kwa mujibu wa biblia kiongozi wa dini hawapaswi kunyamazia maovu bila kujali kayatenda nani!.

    Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya. Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
  18. Zack Abdul

    Pole kwa Rais Samia: Viongozi wa Dini Wafika Nyumbani

    Viongozi wa Dini, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  19. O

    Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  20. O

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa inawaomba CCT,TEC,BAKWATA waunde Kamati ya suluhu na uapatanisho ili kusaidia juhudi za Maridhiano nchini

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua mlango wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa.KKMK tunaamini kwamba viongozi wa dini...
Back
Top Bottom