vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

    Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana: Mtafute namna ya kujiajiri

    Kuajiriwa ni utumwa ulioboreshwa: Sikia 1: Biashara ya kuajiri watu na kuwalipa mshahara ni Mfumo ulioanza baada ya kukomesha biashara ya utumwa. Kumbuka biashara ya kuchukua mtu mwingine kuzalisha mali ni Mfumo unaolipa; Katibu uone. Biashara ya utumwa ilikuwa biashara yenye faida sana...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanaokimbilia mijini wakitokea vijijini wanajiandaa kuzeeka wakiwa maskini

    Hello! Kasi ya vijana kukimbilia mjini hasa Dar es Salaam imekuwa kubwa mno na inatisha. Ni kawaida sasa kila kijana uliyesoma naye primary au sekondari ukimuulizia yuko wapi atakuambia yuko Dar. Ilinifanya mpaka Takwimu za NBS kuhusu idadi ya wakazi wa Dar es Salaam niliona imepunguza idadi...
  5. JamiiForums Tanzania Ufaransa kugawa Kondomu bure kwa Watoto na Vijana

    Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto. Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanaccm tusikubali kuburuzwa na wazee wastaafu. Muda wao umekwisha, vijana tusimamie tunachokiamini

    Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea. Dunia inabadilika hivyo nasi inabidi tubadilike. Na ili tubadilike lazima mtazamo, mtindo na mfumo wa uongozi uende tofauti na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanatafutwa vijana wa mauzo kwenye kampuni ya M-Gas

    Habari, M Gas ni kampuni inayojishughulisha na kuuza gesi ya kupikia majumbani. Kupitia M Gas mteja anapata unafuu wa kununua gesi kidogo kidogo iliyopo ndani ya mtungi kuanzia Sh 1000 na kuendelea kwa mfumo unaofanana na LUKU etc. Mteja anaetaka kujisajili na M Gas (kwa bei iliyopo sasa hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi inataka kufukuzia vijana wengine mitaani baada ya kundi la kwanza kubuma - mobilization

    Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi inataka kurudi mitaani kufukuzia vijana wengine wapelekwe wakafie Ukraine. =============== An advisor to...
  9. JamiiForums Tanzania Uwepo wa vijana wa ovyo mitaani ni matokeo ya wazazi wa ovyo

    Kwa ufupi sana Wazazi wa sasa tujitathimini! Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau! Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando. Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha! Tusiwalaumu wala...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Nape na Vijana wa Lindi mtaendelea kudeki Barabara za Lindi hata Rais Samia akimaliza ziara yake huko?

    Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara. Kwa anayetaka kuona Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

    Members wote nawasalimu katika jina la JF, Kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "Wanaume orignal tumebaki wachache" hii ina ka ukweli. Huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa sasa nao pia wanataka kuwa "Warembo" Baada ya dada zetu kusema wanapenda wanaume ma handsome, (achana...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi? Oneni wenzenu wanavyojua kutafuta pesa

    Hawa jamaa wameamua kabisa kufyatua akili zao ili waishi vizuri hapa mjini .🤣🤣🤣
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Habari! Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao. Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa. Hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

    Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni...
  15. JamiiForums Tanzania 'Ngono Biashara' chanzo cha maambukizi mapya ya UKIMWI kwa vijana

    Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi usio wa ndoa, wala wa kibiashara unaochochewa na dhana ya wazi kwamba ngono itabadilishwa kwa usaidizi wa mali au manufaa mengine almaarufu ngono muwawana, unazidi kujengeka...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina vijana wa hovyo sana

    Nimeshindwa hata kumalizia using mjonee tu wenyewe
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana waliyohitimu vyuoni

    Mkipata kazi kwanza mjue mlichojifunza Chuoni ni kama 60% hivyo mnahitaji kujifunza kwa haraka majukumu mtakayo pangiwa bila dharau kwa mtakao wakuta. Degree inakusaidia kupata kazi ila haikusaidii kuendelea kubakia kazini. Kitakachokufanya usalie kazini na kuendelea kula mema ya nchi ni kama...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi mmeshachuma vya kutosha achieni ofisi, vijana mkajifunze kwa Ally Hapi

    Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini. Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni dereva hodari, shupavu jasiri na mahiri wa taifa letu, Watanzania waridhishwa na kasi yake

    Ndugu Zangu Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Mama Samia Ni Dereva Mahiri na shupavu Sana katika kuliendesha gari hili la Safari ya maendeleo ya Tanzania, Ni dereva Ambaye ameonyesha umaridadi na uzoefu wa kuendesha gari,ameonyesha umakini mkubwa katika safari,ameonyesha kuwajari abiria...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…