vijana

  1. Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Kwenye folen kuna fursa hii pia.
  2. Vijana wa Tanzania bado wanauelewa mdogo kuhusu siasa hivyo Rais Samia endelea kuteua wazee kwanza

    Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji Wa CCM. Ukija kwa upinzani hawa kiasi chake wanakuaga na hoja nzuri ila tatizo lao kubwa ni lile la...
  3. Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi...
  4. Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  5. Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

    November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa...
  6. C

    Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

    Wasalaam, Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae. Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana. Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka...
  7. Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

    Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi. Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa...
  8. Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  9. Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

    Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao...
  10. Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

    Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania. Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno. Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo Mfano rais wa...
  11. PreGE2025 Dkt. Baruani Mshale: Usiposhiriki uchaguzi utachaguliwa Kiongozi usiyemtaka

    Baruani Mshale ambaye ni Mkurugenzi wa Mikakati na Mafunzo kutoka TWAWEZA amesema kitendo cha Watu na hasa Vijana kutoshiriki katika masuala ya Uchaguzi kinasababisha maamuzi yanayofikia kuchaguliwa kwa Viongozi ambao hawawataki. Amesema "Tuchukulie mfano wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pale...
  12. Magonjwa tishio kwa vijana

    Katika Uzi huu nitaorodhesha magonjwa tishio kwa vijana 90% hutokana na Ngono na Uraibu 1. Ugonjwa wa Figo Visababishi -UTI isiyotibiwa ulevi high blood pressure isiyodhibitiwa -Matumizi ya sigara -kutokufanya mazoezi - Kutokunywa maji 2. UTI -Ngono isiyosalama -Masuaka ya Usafi 3. HIV/AIDS...
  13. Dkt. Biteko ataka Umoja wa Vijana CCM kushikamana kuleta maendeleo

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Zanzibar ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya kuelekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kongamano hilo ambalo limefanyika katika Wilaya ya...
  14. Video: Hizi pombe za kwenye vichupa vya plastiki zipigwe marufuku haraka, vijana wataisha

    Hali hii
  15. Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

    Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii. Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga...
  16. Visungura mtaani na k vant vinamaliza vijana!

    Kheri ya mwaka mpya wakuu? Mimi binafsi mtaani nilipopanga na ninapoishi naitwaga mshamba na washkaji sababu nikitoka asubuhi kwenye mishe zangu kariakoo kurudi saa3 usiku au saa2 nikiwahi. siku ya mwaka mpya hapa mtaani kuna vijana wengi walioshindwa kusoma, wasio na kujua nini wanataka...
  17. Nchi haizidi wasanii + wanamichezo 900 waliofanikiwa ndio maana tunawaasa vijana wasome wajaribu bahati ya ajira, wajiajiri au kufanya biashara.

    Vijana wengi wadogo wakiwaona celebrities kina Diamond, Mario, Mbwana Samata, Masoud Kipanya, Joti. n.k. wanashawishika kutaka kuanza maisha ua sanaa ama michezo bila kujua kundi hilo halizid watu 900 kwa ujumla wenye maendeleo kwa kutegemea kazi hizo, Unganisha wasanii na wanamichezo wote hapa...
  18. vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  19. Vijana Jazz Ya TANU Youth League Ilikuwa inajiita "Sex Batallion"

    Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa inaimba nyimbo za magitaa yaliyojulikana kama galatoni wakati huo. Wimbo Maarufu ulioachwa n John...
  20. Kama biashara/Ajira inakunyima muda wa ibada bado ni masikini, Ongeza bidii na umaridadi wa akili yako.

    Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi. Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato. Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…