vijana

  1. N

    Changamoto ya ajira kwa vijana

    Unadhani kuwa na elimu ya juu ni kigezo kitakachokusaidia kupata ajira? Tunasisitizwa kuhusu elimu, lakini kwa nini mwenye elimu ya juu zaidi hapati ajira? Wanaogopa kumuajiri kwamba atakuwa juu zaidi yao au wanaogopa atatakiwa kulipwa mshahara mkubwa wasioumudu? Watu wana elimu za juu lkn...
  2. Z

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  3. Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba! Unakubaliana kwa kiasi gani na kauli hii?
  4. Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  5. A

    Tamko la pamoja la Wanafunzi wa Vyuo (ACTWASO) kuelekea uchaguzi wa ngome ya vijana taifa

  6. I

    Serikali nchini Iran yakamata vijana 10 kwa kushangilia timu yao ya taifa kufungwa

    Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka. Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu...
  7. Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  8. Hili la ENL nimefaidi sana, Ahsanteni vijana wa zamani hizo

    🕯Salaam Wakuu🕯 1. Nyuzi zinapishana sana 2. Historia imerudi nyuma 3. Mengi yameibuka. 4. Wengi wamezungumza 5. Lakini sioni wa kumwamini Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya nchi hii kushinda hata baadhi ya Maraisi wetu. Mimi kwake nimejifunza kitu kimoja kikubwa - UKIMYA...
  9. O

    Natafuta vijana wa kuniuzia juice

    Natafuta vijana wa kuniuzia juice fresh za matunda za kutembeza kwenye madumu -wa kike /kiume -Dumu la lita 5 akimaliza tatu kwa siku -Mshahara 150,000/= -Nauli natoa ya kwenda anapotembeza. Alie tayari weka namba ntakupigia. -Nipo Dar es salaam temeke
  10. Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

    Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi.. Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
  11. G

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  12. G

    Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
  13. Usikubali kulipwa mshahara maisha yako yote, kataa

    USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA🧠 “A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary Vipi unakubali au unakataa? REPOST Wengi Wajifunze 🙏 ...Huu ni ukweli mchungu kuhusu mshahara 👇 ✔️Kama Unalipwa Mshahara Maana yake Unabeba...
  14. Mhandisi Ndolezi Petro atangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa

    Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024: UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
  15. Faida 04 za kijana kuoa ukiwa na miaka 20

    Ukomavu wa utu uzima unaanza mtu akifikisha miaka 20. Utu uzima unaanza akifikisha miaka 13. Kimsingi mwenyezi Mungu hatambui kitu mnachokiita Teenagers/Adolescents au foolishage. Miaka 13~19 ni mtu mzima anayejianaa kuoa akihitimu 20s. Ziko faida nyingi wazazi wakiwaandaa vijana wao kukomaa...
  16. Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

    Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa. Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk Mimi nashangaa sana halafu unakuta...
  17. Unajua ni kwanini zamani inasemekana kulikuwa na watu wengi wenye akili?unajua kwanini vijana maisha ni magumu?

    Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
  18. Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

    Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana. Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni. Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa...
  19. Vijana wamekuwa wa ovyo

    Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia! Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na...
  20. K

    Vijana wadogo wa kuajiriwa

    Kama yupo kijana mdogo, umri kuanzia miaka 18 hadi 20 asiyesoma shule, anayetaka kuajiriwa kwa ajili ya biashara ndogondogo kwa mshahara mzuri maeneo ya Tabata anitafute nimpe connection.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…