vijana

  1. PreGE2025 Vijana ni kundi lililotengwa na uongozi

    Teuzi tunazoziona kila siku watu ni wale wale mbaya zaidi viongozi wengi wanaoteuliwa ni wazee hii inamaanisha Nini wadau? Swali je vijana hawatoshi kwenye nafasi hizo wazee hawa tumekuwa nao kwenye uongozi kwa muda mrefu lakini hatujaoni ufanisi Wazee Hawa waliwaaminisha watanzania kuwa wao...
  2. Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  3. K

    Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  4. J

    PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ametuma salamu kwa Wapenzi watazamaji wanaowatazama Vijana wa CCM wakisubiri wakosee ambapo amesema Vijana hao hawatokosea na watashambulia kila kona ya Tanzania kuzisaka na kuzilinda kura za CCM pamoja na kugombea...
  5. Ugunduzi wa aina mpya za Dawa za Kulevya daily ni anguko kuu kwa Vijana

    Huko Sierra Leone Serikali imetangaza Matumizi ya Dawa za Kulevya Kuwa Dharura ya Kitaifa huku Rais Julius Maada Bio akitangaza Mapambano dhidi ya Mihadarati aina ya 'Kush' Kush inatajwa kuwa na uraibu sawa na Bangi na tramadol na imekuwa ikitumiwa zaidi na Vijana wasio na ajira wakikabiliana...
  6. K

    Uandaliwe mpango kabambe wa kusambaza filamu za utalii zinazofanywa na Rais Samia kote duniani

    Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi mei, 2024 na mafanikio ya filamu ya The Royal Tour. Kuhusu...
  7. M

    Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA. Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu...
  8. K

    Kwanini Vijana wetu wamezidiwa sana na wenzao wa Senegal

    Vijana wetu wamezidiwa sana na vijana wenzao wa Senegal kwasababu. 1. Vijana wa Senegal wanapenda na kutafuta mbinu za kujua habari na sio habari za kulishwa na serikali. 2. Vijana wa Senegal walichoshwa na wazee ambao walikuwa watawala toka uhuru wakati vijana wa Tanzania wenyewe ndiyo...
  9. P

    Uchaguzi wa Senegal 🇸🇳 umenifanya niwaelewe vizuri Vijana wa hapa Nchini

    Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali. Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na uongozi wa nchi. Kutokana na assessment yangu ya haraka huko mitandaoni, nimeona kuwa vijana hawako...
  10. Romania: Wabunge wataka marufuku ya TikTok kuzuia propaganda na jumbe za kihafidhina

    Wanasiasa kutoka muungano wa kisiasa wa vyama vyenye uwakilishi mkubwa katika bunge nchini Romania wanapendekeza marufuku au "udhibiti mkali" wa mtandao wa TikTok, kufuatia utafiti unaoonesha kukua kwa uungaji mkono wa siasa kali za mrengo wa kulia miongoni mwa vijana, ambao ni watumiaji wakubwa...
  11. Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

    Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao. Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM. Hii imekuwa kama tabia sasa, wadada kuwapiga picha waume za watu hao na kushare mitaoni, japo lengo halijukani haswa...
  12. B

    PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  13. M

    PreGE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa. Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye...
  14. S

    Vijana wengi wa kiume from Afrika Magharibi wanatokomea ughaibuni

    West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha. Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
  15. Vijana wa Kariakoo (mawinga) ni muda sasa wa kurudi vijijini kulima

    Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua. Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita...
  16. Nawashauri vijana wenzangu Udalali ndiyo msingi wa kipato kwa dunia ya leo, hususani Tanzania

    Assalam Alaykum! Wadau wa JF kila siku kumekuwepo na kawaida ya kuunda nyuzi tofauti za watu kuomba ushauri wa kujikwamua kimaisha lakini wengi wa wachangiaji hawaoneshi nia na azma ya kusaidia,waomba ushauri wengi huangukia patupu leo mimi @Muhafidhina nimeamua kutoa ushauri kwa vijana...
  17. Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hawa machawa wakiongozwa na chawa mkuu Mwijaku wanafanya mji unachangamka sana yaani hii style ya kusifia watu wazito na vimisemo misemo flani hivi inachangamsha sana mji. Jiji limechangamka media zimechangamka nina rafiki zangu Nairobi na kampala...
  18. Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

    Kuna rafiki yangu mmoja ambaye si Mtanzania anaishi Marekani, Boston state! Huyu jamaa kiasili ni Msweden ambaye anaishi huko Kwa Joe Biden, mimi na yeye urafiki wetu ulianza miaka mingi kidogo baada ya kukutana mkoani Arusha kwenye ishu moja hivi, kuanzia hapo tukawa kama ndugu!. Sikutaka...
  19. SOMO KWA VIJANA: Ijue tofauti ya tajiri na masikini, au tofauti ya millionea na shilingionea

    Unajua haya maisha watu wanaishia kuishi kwa stress kibao sababu hawajijui na hawajui wanachokitaka au wanachotaka kuwa Mfano dogo anataka kuwa tajiri lkn hajui tajiri ni nini/nani. Na hauwezi kuwa tajiri kama ww sio tajiri (najua hujaelewa) Iko hivi, hata kwenye vita yyt ile huwa tunashinda...
  20. Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…