vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kilio cha connection kwa vijana

    Kilio cha connection kimekua kikubwa sana huku mtaani kiasi kwamba ishaaminika ndio njia ya uhakika kupata ajira mpaka kupekelea baadhi ya watu ambao wanashikilia vitengo vizuri uko maofisini kuonekana wabaya kwa sababu hawatoi fursa za connection kwa vijana wanaotafuta ajira Ukweli ni kwamba...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kujitegemea Vijana kiuchumi

    KIJANA mwenye ndoto za kuwa na maisha bora huonekana kwa namna mbali mbali akijituma,kujishughulisha na kutumia mda wake mwingi kwa asilimia kubwa kuzalisha fedha ili aweze kutimiza malengo na mipango anayotamani kuwa nayo ili kuuoa moyo wake kile kitu unahitaji.(vijana wa namna hii huwa Ni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatekeleza uwezeshaji vijana kwenye kilimo

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Kilimo wameamua kubadilisha sekta ya kilimo kutoka kilimo cha kwenye karatasi kwenda kwenye utekelezaji. Katika hotuba zake za hivi karibuni Rais Samia alisema kilimo kina hela vijana wakajiajiri kwenye kilimo. Ili kuhakikisha vijana wanajiajiri...
  5. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tunatengeneza timu ya vijana (U20), njoo ufanye majaribio

    Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili. Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya akili kwa Vijana

    Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana". Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira na vijana baada ya elimu

    AJIRA NA VIJANA BAADA YA ELIMU Vijana ni kundi linalochangia maendeleo ya uchumi katikataifa. Yapo makundi mbalimbali ya vijana katika taifa letu ilanitayagawanya katika makundi matatu. Kundi la kwanza kuanzia miaka 18 hadi 25 kundi hili linapatikana katikaNyanja mbalimbali za elimu kwa mfano...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila malipo kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Pia imewawezesha wahitimu kuendelea na elimu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukombozi wa vijana kutoka kwenye wimbi la matumizi ya Vileo na Dawa za Kulevya Tanzania

    UKOMBOZI WA WATOTO NA VIJANA KUTOKA KWENYE WIMBI LA MATUMIZI YA VILEO NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI TANZANIA. Nchi yetu ya Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo vijana wake wengi kila kukicha wanajiingiza kwenye wimbi kubwa la matumizi ya vilevi kama vile pombe, ugoro, bangi na madawa mengine ya...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania tutajiajiri vipi au kutengeneza uchumi binafsi ili kuondokana na kuwa tegemezi?

    Wimbi la ajira ni kubwa sana na kiukwel maisha ya vijana wengi yapo mikononi mwa wazazi na Ndugu wengine wenye mioyo yakusaidia Ndugu zao. Vijana wengi Sana nchini hawaelewi ni namna gani watajikwamua kiuchumi ili kuondokana na Hali hii. Je, wewe Kama Kijana unashauri Nini kwa vijana wenzako...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  12. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku. Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyoweza kuondokana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana tupambane, soma hii

    Sirjeff Dennis, CEO Exxon is the influencing leader behind the booming investing mania in Tanzania and East Africa. He started his entrepreneurship career at the tender age of 17 years and found himself fortunate enough to receive significant exposure to global opportunities that helped him...
  16. JamiiForums Tanzania Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  18. JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Sensa itaharakisha maendeleo kwa vijana

    "Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya. Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Tafakuri kwa Vijana wa 2022: Uamuzi ni wetu sisi kama Vijana wa kizazi kinachotarajia kuiona kesho

    Mara nyingi nimekuwa nikitafakari, ni namna gani nimefika hapa nilipo. Siku zote naona ni kama kitendawili kwa maana ni mambo mengi yanahusika hadi mtu kufikia hatua yoyote katika maisha yake, iwe ni kupata kazi, kupata mtoto wa kwanza, kumzawadia mtu wake wa thamani ili apate furaha ndani yake...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…