vifaa

  1. Sister Abigail

    Wazazi wengi wa kiafrika hawajui kuset parental control kwenye vifaa vya na wengine hawaijui kabisa

    Hii nimeona mahali pengi,wenzenu wameadvance hata wakimnunulia mtoto smartphone wanaenda kwenye settings kipengele Cha parental control,wanaset Kwa kadri ya umri wa mtoto anaetumia hiyo device,maudhui atakayoyaona yaendane na umri wake.Hata applications pia Zina parental control kuonyesha...
  2. BM256

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk Bei nimenyooka na hakuna free delivery . Tupo kariakoo Magila na likoma. Check 0745588735 Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
  3. youngkato

    Biashara ya photo studio: mtaji, vifaa, faida na jinsi ya kuanzisha

    Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua. 1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa? Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
  4. youngkato

    Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  5. Nyendo

    Irene Ombeni Mwanadada anayefanya ufasi kwa kujitolea apatiwa vifaa vya usafi na Mbunge

    Baada ya kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv kumfungulia dunia Kijana 𝗜𝗿𝗲𝗻𝗲 𝗢𝗺𝗯𝗲𝗻𝗶 kwa kufanya nae mahojiano na jamii kuona anachokifanya, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mhe. 𝗛𝗮𝗿𝗮𝗻 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 (haransanga_) amemuwezesha Mwanadada Kijana 𝗜𝗿𝗲𝗻𝗲 𝗢𝗺𝗯𝗲𝗻𝗶 vifaa vya kisasa vya usafi wa mazingira, ikiwemo...
  6. Sifi Leo

    Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  7. O

    Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  8. O

    Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  9. youngkato

    Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  10. and 998 others

    Tanganyika hakuna vifaa & abiria kuihudumis A380

    Tanganyika kwenye Aviation ni kama kijiji tu. Viwanja vidogo, vifaa hamna wala abiria. Kuileta A380 huiu ni hasara kubwa. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nauli za Kimbinyiko.
  11. K

    Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  12. Frank Mazagazaga

    Vifaa 3 muhimu kwenye utengenezaji wa incubator ya kutotolesha mayai

    UTENGENEZAJI WA INCUBATOR YA KUTOTOLESHA MAYAI Unapotengeneza homemade incubator, siyo tu kuweka bulb ya joto ndani ya boksi na kutegemea mayai yatotolewe. Mfumo wa kudhibiti joto na unyevu una nafasi kubwa kwenye matokeo ya utotoleshaji. Kuna vifaa vitatu ambavyo vinaweza kufanya mfumo wa...
  13. M

    Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  14. zitto junior

    Magaidi wa RSF ya Sudan wapokea msaada wa intelijensia na vifaa kutoka Israel

    The Jerusalem post Agosti 30, 2026. Shirika la Africa Intelligence Report liliripoti kwamba wakati wa vita, viongozi waandamizi wa RSF walidumisha mawasiliano ya siri na Israeli huku wakikutana na maafisa kutoka Idara ya Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Israeli na wafanyakazi wa ujasusi wa...
  15. A

    Wanafunzi Law School of Tanzania wanaofanya mitihani watakaguliwa kama wana vifaa vya Kielektroni

    Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
  16. mgobole

    Fundi TV na vifaa vya umeme

    FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME.. KAMA TV YAKO INA SHIDA YOYOTE TUNATENGENEZA KWA UHAKIKA NA HARAKA ZAIDI.. KAMA TV HAIWAKI INAWAKA INATOA MWANGA TU INAWAKA MISTARI PICHA INACHEZA CHEZA INAWAKA KITAA CHEKUNDU IMEKUFA MOTHER BOARD POWER SUPPLY BACKLIGHT TV AINA ZOTE TUNA DEAL NAZO TUNA HUDUMA YA...
  17. Ndagullachrles

    DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro — Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  18. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  19. Gospel KTV

    Natafuta Vifaa Vifuatavyo kwa Bei Rafiki: Betri ya Lenovo, RAM 8GB na SSD 500GB

    1. Betri ya PC kwa part numbers hizi: L14M3P24 L14S3P24 L16M3P24 L16S3P24 FRU: 5B10H41180 / 5B10H41181 / 5B10H52788 / 5B10M95762 11.1–11.52V, 45Wh, karibu 4050mAh Lenovo IdeaPad/XiaoXin 700‑15ISK type 80SH 2. RAM 8GB DDR4‑2133MHz / PC4‑17000 SO‑DIMM ya laptop, 260‑pin 1.2V, Non‑ECC, Unbuffered...
Back
Top Bottom