video

  1. Mwl.RCT

    Video: Africa’s Richest Man How He Made $30 Billion!

    https://www.youtube.com/watch?v=2tqW6a5tWoc
  2. C-C Digital Pro

    Ile video ya 'Home Boy' by Civilian-Coin imeachiwa rasmi(full video-HD)

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
  3. C-C Digital Pro

    Video ya home boy itatoka lini?

    Iko njiani. Watch trailer yake:
  4. S

    SI KWELI Video, Haaland akijiogopa baada ya kujiona kwenye kioo

    Wakuu hii video ni halisi huyu ni Haaland kweli?
  5. ChoiceVariable

    Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  6. The unpaid Seller

    Video: Huyu jamaa amewashangaza wengi

    Wakuu hakuna haja na maneno mengi tazama mwenyewe: https://vm.tiktok.com/ZSCM2hCSL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
  7. Archival Sense

    Police Arrest Man Over Viral Video Claiming Leadership of Criminal Gang

    Police Arrest Man Over Viral Video Claiming Leadership of Jinja Road Criminal Gang Police in Kampala have arrested a 27-year-old man after a viral social media video in which he allegedly claimed to lead a gang responsible for a string of crimes along Jinja Road and in Banda. Wafula Solomon...
  8. Zack Abdul

    Maandamano ya Julai 7 hayajaruhusiwa, msidanganywe na video za zamani

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7. Miongoni mwa Video hizo ni za matukio ya zamani ikiwemo ya maandamano ambayo yaliruhusiwa kisheria na kupewa ulinzi na...
  9. Archival Sense

    Feud Between Comedians Shawa and Chicken Chicken Escalates Into Brutal Fist Fight (VIDEO)

    A long running feud between Ugandan tik tok sensations Shawa and Chicken Chicken has reportedly escalated into a physical confrontation and allegations of property damage. The former friends are said to have clashed on Tuesday night at Tonic Bar in Akamwesi, Kanyanya, where witnesses allege the...
  10. B

    Video fupi: Yesu atoa ushauri kwa team kataa ndoa

    Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa" Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika. https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
  11. The unpaid Seller

    Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  12. Eli Cohen

    VIDEO: Tazama jinsi Mtanzania alivyofanyiwa vurugu na wasauzi

  13. The unpaid Seller

    Video: Waafrika tuna nguvu aise khaa !!, Hivi ilikuwaje wazungu wakatutawala.

    kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini: https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/ Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
  14. The unpaid Seller

    Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

    salaam, Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
  15. The unpaid Seller

    Video: kuna maajabu huwezi kuamini ukisimuliwa, mpaka uone mwenyewe !!

    salaam, Hakuna haja ya kusimulia, tazama mwenyewe .... https://vt.tiktok.com/ZSQ39G9yF/ kwa wanaoweza kuingia ticktok bfya link https://vt.tiktok.com/ZSQ39G9yF/
  16. mcTobby

    Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  17. mcTobby

    Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  18. O

    Wakuu msaada tutani kuhusu video downloader

    Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
  19. Eli Cohen

    VIDEO: Yapi ni maoni yako juu ya huyu binti alienusurika kufa kwenye mchezo wa kuruka na kamba. Personnel walifanya uzembe kujisahau au ni makusudi?

    Hadi sasa Wafanyakazi watatu wamekamatwa na kushtakiwa. Washukiwa wawili wanaripotiwa kujaribu kukimbia kufuatia tukio hilo na ilibidi wafuatwe na helikopta ya kijeshi na kukamatwa.
  20. Beira Boy

    Video ya Paloma nyimbo ya Mr P ft Singh ndo video ya uongo zaid kuishudia maishani mwangu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama anajifariji et IPO siku naye atapata demu wa kishua Dah acha nicheke mie LONDON BOY
Back
Top Bottom