video

  1. Video: Cocobeach ajali ya pili gari inawaka moto hakuna point za fire eneo lote Coco

    JF Video ya sekunde 16 inagoma ku upload hebu na nyie wekeni miundo mbinu yenu vizuri….yaani Video sekunde 16 inagoma ? Wakuu mko serious ?
  2. M

    Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

    Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia. Hizi aibu kwa jeshi hili...
  3. Natafsiri maandishi na video ya kiingereza kwenda lugha ya kiswahili kwa bei nafuu

    NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
  4. Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  5. GRAPHIC VIDEO!! Magaidi wazidi kuangamizwa huko Gaza!!!

    ⚠️picha za kutisha⚠️ Israel ilifanya shambulio lililolenga gari katika kitongoji cha Rimal kaskazini mwa Gaza. Magaidi 4 waliangamizwa. Kwa jumla, angalau magaidi 28 waliangamizwa leo katika Ukanda wa Gaza. Hamas ilichapisha taarifa kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya kulenga ya IDF dhidi...
  6. Kauli Ambazo watu hujisemea Moyoni kama masihara ila kweli inawauma na wanamaanisha Wakiona Video za Chumba cha Hospitali cha Zuchu na Mtoto Wake

    "Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi." "kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa "Na...
  7. VIDEO: Lightning Kills Family of Six, Including Four Children, in Maracha

    Tragedy has struck Maracha District after a family of six, including four children, was killed when lightning struck their home in Nyanza Cell, Oleba Town Council, in the early hours of Saturday. According to Oleba Town Council LCIII Chairperson Robert Angupi, the incident happened at around...
  8. Video: Police man attacks civilian during lc 1 campaigns

    VIDEO COURTESY OF BBS TEREFAYINA
  9. Video: Ssembabule anti-corruption meeting descends into chaos

    Drama unfolded at a Ssembabule District leaders' assessment meeting convened by Minister Anifa Kawooya after a heated exchange between the minister, the Resident District Commissioner (RDC), and Lwemiyaga County MP Rtd. Brig. Gen. Emmanuel Rwashande over allegations of corruption. The...
  10. Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  11. Video: Heche adai kufuatiliwa na gari namba T 318 EQJ

    Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi...
  12. VIDEO FUPI:- Kleruu vs Mwamwindi

  13. VIDEO: Nafikri vijana wa Arusha wameshindikana aisee

  14. Video :Barabara Kuu ya Tanzam Dar-Mbeya-Tunduma Ilipaswa kuwa Hivi.

    My Take Sina hakika kama Tanzania tunajenga Barabara Kwa viwango vizuri kama hivi 👇
  15. SI KWELI Video hii ya magari yakisaidiana ni halisi

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa dereva mmoja alimsaidia mwenzake ambaye gari lake lilipata hitilafu ya tairi moja. Katika video hiyo, dereva huyo anatajwa kuwa shujaa kutokana na hatua yake ya kumsaidia mwenzake.
  16. Jinsi ya Kutengeneza Picha Kuwa Video kwa Kutumia AI ya Grok Imagine

    18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia. Kwa kutumia Grok Imagine...
  17. M

    Ai yawa msaada kwa wanafunzi wenye usikivu hafifu wanaopata shida kujifunza darasani, group discussions, videos, voice notes, n.k.

    Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu. Wanafunzi...
  18. Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…