video

  1. Video ikionesha mshabiki wa Man Utd akipata mshituko na kuanguka jana baada ya brightom kufunga goli la 3

    Hii timu itaua watu aiseee
  2. VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  3. Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili: video...
  4. Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)

    Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class) CapCut Course: Beginner to Advanced 🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya: Content creators (TikTok, Instagram, YouTube) Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing Wanafunzi au mtu yeyote...
  5. Bodi ya filamu; Wamiliki wa video library wasajili biashara za kabla ya tarehe 30/9

    Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na bodi hii leo Septmba 12, 2026, Bodi imeeleza kuwa ni kinyume cha...
  6. VIDEO: Musuuga Vows To Care For Best Kemigisa

    Musuuga Charles Kamurasi has assured Best Kemigisa, the mother of the late Omukama Oyo, of continued support from Tooro Kingdom. Kamurasi said it is the kingdom’s responsibility to care for Kemigisa and pledged that Tooro Kingdom would stand by her following the death of her son.
  7. VIDEO: 10 Gomba District Officials Arrested Over Shs28Bn

    Ten Gomba District officials have been arrested over alleged corruption, while the Chief Administrative Officer (CAO) has been interdicted for three months to pave the way for investigations. The arrests and interdiction were ordered by the Special Presidential Assistant on Service Delivery and...
  8. Hii video huwa inanifikirisha sana

    Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.
  9. Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  10. Police Arrest Eight Over Viral Video Linked to Alleged Violent Gang

    Police have arrested eight suspects in Kampala following investigations into a viral social media video in which a group of men allegedly boast about attacking members of the public and inflicting serious injuries on their victims. The video, which has circulated widely on social media...
  11. Video: kumbe hii ndio dasilamu ya maziwa na achali?

    Cheki makebo yanavyopishana kama tenga za ngogwe.. Sisi malimbukeni tulioishia fofoho kutoka mikoani dasilamu ndio paradiso yetu.
  12. VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  13. Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  14. O

    Video ya Mbunge Samuel Arama akirusha mikate Nakuru West yazua mjadala

    Video inayoonyesha Mbunge wa Nakuru Town West, Samuel Arama, akirusha mikate kwa wananchi wa eneo bunge lake imezua mjadala mzito na hisia mseto miongoni mwa Wakenya kwenye mitandao ya kijamii . Katika video hiyo, MB Arama anaonekana akitupa mikate na scone hewani huku wananchi wakiwania na...
  15. Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  16. VIDEO: "I now have all the power over the kingdom "Omusuuga of Tooro, Prince Charles Kamurasi Akiiki.

    Omusuuga of Tooro, Prince Charles Kamurasi Akiiki has declared that he is now the interim leader of the Kingdom and royal clan, following the death of his nephew, Omukama Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV. In a video posted on TikTok, he says, "Now all the power of the throne belongs to me. I...
  17. Video ,Dada Anae trend Mitandaoni Kwa Kuichapa Lugha ya Malkia Vyema na Kuipaisha Tanzania Kwa Majibu Yale maskini.

    My Take Ameeleza Kwa kujiamini na Yuko smart 🔥🔥
  18. Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
  19. Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

    Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani? Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu...
  20. Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

    Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…