video

  1. Design Your Idea

    Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  2. Archival Sense

    VIDEO: Maseruka Calls for Fishing Rules Review Over Protected Area

    Mukono South MP Robert Maseruka has called for amendments to fishing regulations, including reducing the 200-square-kilometre Lacteine Protected Area by half. Maseruka says the changes could help protect endangered fish species while allowing communities that depend on fishing to access the...
  3. Archival Sense

    VIDEO: Praise is in Police Custody- Police

    “Praise Aloikin Opoloje is in police custody.” ACP Police Spokesperson, Kituuma Rusoke
  4. Msanii

    Makonda na BASATA: Dudubaya sasa ni talk of the world. Fungieni na hii video kama nyie vodume

    YOU BERA WACH YUA BAACK, HALI NI MBAYA
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    Michael Jackson aliwezaje kukutanisha mastaa wa Hollywood wa miaka ya 1980 katika video ya wimbo wake wa Liberian Girl?

    Wakuu leo ni jumapili, Nimepumzika zangu, nikawa nacheki video za zamani za wasanii wa mbele. Ghafla ikaja video ya Liberian Girl ya Michael Jackson. Ni video flani hivi haichoshi kuitazama namna ilivyopangiliwa matukio yake. Ni video ambayo leo imenikumbusha kitu ambacho sikuwahi...
  6. Jannatul Firdaus

    Chief Godlove: Nimepewa onyo la mwisho video niliyolia nikitoa siri

    Mfanyabiashara Godlove Mwakibete, maarufu kama Chief Godlove, ameeleza kuwa maisha yake yapo hatarini baada ya kuitwa nchini Nigeria na kupewa onyo la mwisho kufuatia hatua yake ya kutoa siri za mtandao wa kishetani aliodai kujiunga nao hapo awali. Akifunguka hivi karibuni, Chief Godlove...
  7. L

    Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Video: Askari akivutana na Mwananchi

    Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi. Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa wanalazimisha mwananchi huyo kuingia kwenye gari lao.
  9. Eli Cohen

    VIDEO: Ukishangaa ya Kawe, Utastajaabu ya huyu mwambo hapa. Mind you hii sio comedy show

  10. Bigmaaan

    VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  11. Manyanza

    Video: Tapeli wa Mawakala akamatwa afichua siri zao

  12. mwehu ndama

    VIDEO: Huyu ndie mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kujibu maswali ya waandishi

    Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
  13. R

    Dereva alalamika Askari wa barabarani kuwakatia Point kwenye leseni

    Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
  14. Eronda

    12 Students Arrested After Viral School Assault Video

    Police have arrested 12 Senior One students in connection with the assault of a fellow teenager in Nakibinge Zone, Kibuli Parish, Makindye Division, Kampala. The arrests follow the circulation of a video on social media showing a group of boys assaulting a teenage boy. In the video, a teenage...
  15. Archival Sense

    VIDEO: Byamukama Shocked by Seven Year Delay on Biiso–Masindi Road

    Video by New Vision Works and Transport Minister Fred Byamukama has expressed concern over the delayed completion of the 45-kilometre Biiso–Masindi Road, which has been under construction for seven years. Buliisa MP Allan Atugonza told the minister that works on the road began in 2019 and are...
  16. Eli Cohen

    Video ikionesha mshabiki wa Man Utd akipata mshituko na kuanguka jana baada ya brightom kufunga goli la 3

    Hii timu itaua watu aiseee
  17. 100 others

    VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  18. Right Flower

    Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili: video...
Back
Top Bottom